Karibu! una hitaji huduma gani?
Nini Kipya?
CRDB BANK IN NEWS,GROWING BUSINESS
Benki ya CRDB yakabidhi bajaji, pikipiki kwa washindi wa Simbanking
Siku ya Jumatano ya Julai 12,2023 tuliandamana kutoka kwenye kitovu cha barabara ya Msimbazi Kariakoo ambapo klabu mashuhuri ya Simba SC imezaliwa. Tulipita barabara kongwe ya Morogoro tukilipamba jiji la Dar es Salaam kwa rangi nyekundu na nyeupe. Tulikatiza mitaa mashuhuri ya Magomeni na kuelekea Kinondoni kisha tukajikuta kwenye viwanja vya Leaders pembezoni mwa Ada Estate.
Soma ZaidiCUSTOMER STORIES
Maoni zaidi kutoka kwako mtandaoni
Benki ya CRDB imetumia mfumo wake wa kidijitali kupokea maoni ya wateja kwa njia rahisi na kuyafanyia kazi ili kuboresha na kutoa huduma bora za kibenki.
Soma ZaidiCRDB BANK IN NEWS,SUPPORTING COMMUNITIES
Benki ya CRDB yawazawadia washindi wa Simbanking bajaji na pikipiki
Makao yetu mapya ni sawa na ulimwengu usio na mipaka kwani lina miundombinu ya kisasa itakayowawezesha wafanyakazi wetu kuwa wabunifu zaidi ili kuweza kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Soma ZaidiBEYOND BANKING
Tumeungana na wadau kuwezesha Biashara changa kupitia programu ya IMBEJU
Benki ya CRDB leo imeingia mkataba wa makubaliano na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia programu yake ya ‘IMBEJU’ iliyojikita katika uwezeshaji wa wanawake na vijana kiuchumi.
Soma Zaidi