TemboCard

Furahia uwezekano bila kikomo na kadi ya TemboCard. Kadi hii inakupa ufikiaji wa haraka na salama kwenye akaunti yako ya benki kutoka mahali popote na wakati wowote. TemboCard ni mfano unaokubalika ulimwenguni wa kulipa kwa elektroniki, kupitia duka lolote la mfanyabiashara inayohusiana na VISA, Mastercard au China Union Pay (UPI) au ATM yoyote ulimwenguni.

commonCardsTitle

  • Uwezo wa Kufanya miamala kwenye mashine zaidi ya 1,840,000 za ATM nje ya Tanzania na zaidi ya mashine 1,500 Tanzania ambapo kadi za VISA hukubalika
  • Fanya malipo ya mtandaoni kwa urahisi popote ulipo
  • Zinalindwa kwa nywila (PIN)
  • Fuatilia matumizi na kusimamia bajeti yako kwa urahisi kupitia taarifa zako za kibenki
  • Fanya malipo kwa njia ya POS bure kwenye maduka au migahawa yenye mashine za POS za CRDB.

  • Kupitia machine za POS popote pale duniani katika migahawa, hoteli, maduka, hospitali, vituo vya mafuta, maduka ya dawa na sehemu nyingine.
  • Mtandaoni kwa kutumia taarifa za kadi;
  • Nunua vitu katika maduka ya mtandaoni kama Piki, Amazon, AliExpress, Ebay, BestBey na mengineyo)
  • Lipia App za burudani kama Netflix, HBO, ShowMax, iTunes, Deezer
  • Lipia tiketi za ndege za Air Tanzania, KLM, Turkish Airways, Qatar Airways na nyinginezo
  • Lipia hoteli popote pale duniani kupitia Booking.com, Hotels.com, Expedia, AirBnB na nyinginezo nyingi.
  • Lipia masomo na nunua vitabu mtandaoni.
  • Unganisha TemboCard VISA yako na Paypal kurahisisha malipo ya huduma na bidhaa mtandaoni kwa urahisi.
  • SimBanking USSD *150*03#
  • Kwa kuscan QR kupitia App ya SimBanking. Huna App ya SimBanking? Ipate sasa, ni bure ! Pakua simbanking APP

Kutumia TemboCard VISA kufanya malipo, unahitaji kufungua akaunti nasi, tutakupatia TemboCard VISA. Bofya kitufe cha pata kadi yako kujipatia TemboCard VISA.

TemboCard Visa Infinite

TemboCard Visa Infinite

TemboCard Visa Infinite ni kadi maalumu kwa ajili ya wateja wanaofanya miamala yenye viwango vikubwa mara kwa mara.

TemboCard Visa Gold

TemboCard Visa Gold

TemboCard Visa Gold is an international debit card issued in partnership with Visa International and directly linked to your domicile account.

TemboCard Platnum Visa

TemboCard Platnum Visa

TemboCard Platinum gives you the international beneits that takes you to a platinum side of life everywhere you go.

TemboCard Hospital Card (Platinum MasterCard)

TemboCard Hospital Card (Platinum MasterCard)

TemboCard Visa

TemboCard Visa

Enjoy unlimited possibilities and convenience with TemboCard Visa. This card provides instant and safe access to your bank account from any place and at any time. Secured by VISA Electron, TemboCard Visa is a globally accepted mode of paying electronicall

TemboCard MasterCard

TemboCard MasterCard

Think convenience, think global. With TemboCard MasterCard you have a world-class, enhanced banking card which allows you to withdraw cash from domestic and international ATMs as well as make purchases in outlets. It’s safe and easy – with a TemboCard Mas

China UnionPay Card

China UnionPay Card

UnionPay is a bankcard association established under the approval of the State Council and the People’s Bank of China. At present, the Shanghai-headquartered UnionPay has about 400 domestic and overseas associate members.

TANAPA TemboCard

TANAPA TemboCard

At CRDB Bank, we have made it our business to make your life easier. In an arrangement with Tanzania National Parks, we have developed the TANAPA prepaid card. This card enables tour operators make park fee payments. Carrying the TANAPA TemboCard is safe,

TemboCard Fahari MasterCard

TemboCard Fahari MasterCard

Albarakah TemboCard Visa Infinite

Albarakah TemboCard Visa Infinite

This is an exclusive card for elite Al barakah banking customers offers the highest spending power, convenience, personal privileges and unparalleled services. It is specifically designed to meet your needs and enhance your lifestyle with no boundaries.

Albarakah TemboCard Platinum Visa

Albarakah TemboCard Platinum Visa

Albarakah TemboCard Platinum gives you the international benefit that takes you to a platinum side of life everywhere you go.

Albarakah TemboCard Visa Gold

Albarakah TemboCard Visa Gold

This is an exclusive card for elite Al barakah banking customers offers the highest spending power, convenience, personal privileges, and unparalleled services. It is specifically designed to meet your needs and enhance your lifestyle with no boundaries.

Choose 3 Accounts to compare

Akaunti TemboCard Visa Infinite TemboCard Visa Gold TemboCard Platnum Visa TemboCard Hospital Card (Platinum MasterCard) TemboCard Visa TemboCard MasterCard China UnionPay Card TANAPA TemboCard TemboCard Fahari MasterCard Albarakah TemboCard Visa Infinite Albarakah TemboCard Platinum Visa Albarakah TemboCard Visa Gold American Express
Sarafu (TZS, GBP, USD, EUR)
Kiwango cha chini cha Uendeshaji
Hupata Riba kwa Amana
Ada ya uendeshaji ya kila mwezi
Uendeshaji wa Akaunti ya Pamoja
Bima ya KAVA bure
Ina Huduma ya SimBanking na Internet Banking
TemboCard VISA/MasterCard
Kiasi cha Mkopo
Muda wa Mkopo
Kuongeza mkopo
Kubadilisha Mmiliki
Dhamana

Maswali

You might also be interested in