Akaunti ya Salary

Maelezo

Simamia mshahara wako kirahisi.

Hii ni Akaunti ya akiba inayorahisisha malipo ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali, kampuni binafsi na taasisi mbalimbali. Inakuwezesha kusimamia mshahara wako, kulipa bili na kuweka akiba.

Akaunti ya Salary can now be applied through SimBanking App.

Pakua Sasa

Sifa 5 za Akaunti Yetu ya Salary

  • Akaunti inafunguliwa kwa TSH au USD  

  • Kiasi cha kufungulia akaunti ni TSH 20,000 au kiwango kinacholingana na hicho kwa USD

  • Riba inalipwa kulingana na akiba uliyoweka

  • Unapata Inawezesha malipo ya mshahara kwa uharaka

  • Urahisi wa kufanya miamala masaa 24 kwa kutumia TemboCard au Simbanking


Sababu 6 za kufungua Akaunti ya Salary

  • Unapata mishahara kwa wakati

  • Uwezo wa kupata huduma wakati wote kupitia ATMs, SimBanking, huduma za kibenki kupitia mtandao na CRDB Wakala  

  • Urahisi wa kuweka akiba 

  • Unapata kadi ya benki papo hapo  

  • Unaweza kupata mikopo kwa ajili ya wafanyakazi; “Salary Advance”/ “Personal loan”

  • Unapata huduma ya KAVA Assurance Bure (Mteja binafsi na/au mwenzi wake): Bima ya maisha TSH Milioni 2 na Bima ya ulemavu wa kudumu (kwa mwenye akaunti) TSH Milioni 2



Kufungua akaunti:

  • Uwe mfanyakazi uliyeajiriwa na taasisi iliyosajiliwa na kutambulika mwenye umri kuanzia miaka 18 

  • Uwe na kitambulisho halali kimoja (Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, Kitambulisho za Mzanzibari Mkaazi) 

  • Uwe na picha 2 aina ya Pasipoti (Kwa wateja wasio na Namba au kitambulisho cha NIDA)

  • Uwe na kitambulisho cha kazi na barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri


Maswali

Hapana, HESABU YA MSHAHARA haiwezi kufunguliwa kwa pamoja

Ndio, mteja wa AKAUNTI YA MSHAHARA anastahili Visa ya TemboCard / MasterCard

Hapana, mteja wa HESABU YA MSHAHARA hastahiki kituo cha vitabu vya hundi

Ndio, mteja wa AKAUNTI YA MSHAHARA anaweza kupata SIM Banking.

Ndio, mteja wa AKAUNTI YA MSHAHARA anastahiki bidhaa ya mkopo ya CRDB kama kwa dhamana ya mshahara, mkopo wa wafanyikazi waliolipwa, mkopo wa kibinafsi, au rehani kutaja chache.

Ndio, mteja wa AKAUNTI YA MSHAHARA anaweza kuweka agizo maalumu kwenye akaunti yake ya CRDB au akaunti ya nje.

Hapana, hakuna mashtaka kwa kuweka maagizo maalumu kati ya akaunti za CRDB.

Unaweza kupendezwa na