Bima Ya Usafirishaji Bidhaa

Maelezo

Bima hii inalipa fidia ya mali iliyopotea wakati wa usafirishaji kwa njia ya barabara au reli. Inamuhusu mmiliki wa mali inayosafirishwa au mmiliki wa chombo cha usafiri anaweza kukata Bima hii.

Unaweza kupendezwa na