Bima Ya Usafiri Wa Baharini

Maelezo

Bima hii hukatwa kwa ajili ya kulipia hasara inayoweza kupatikana kwa ajili ya mali zinazosafirishwa kwa njia ya baharini. Bima hii huanzia pale meli inapoondoka bandarini baada ya kupakia mzigo,na huendelea muda wote wa safari, na muda wake humalizika baada ya bidhaa kufika eneo linalotakiwa/ lililopangwa au humalizika baada ya siku 6 baada ya kupakuliwa kutoka kwenye meli. Bima hii ni nzuri kwa Wafanya biashara wanaoagiza na kusafirisha mizigo.

Unaweza kupendezwa na