Bima ya Fedha

Maelezo

Bima hii hulipia gharama za hasara ya kifedha inayopatikana kutokana na:

  • Ushafirishaji
  • Utunzaji wakati na baada ya saa za kazi kumalizika
  • Ikiwa mikononi mwa muuzaji
  • Ikiwa mikononi mwa Wakurugenzi
  • Hasara inayopatikana katika masanduku ya hifadhi yaliyo katika vyumba maalum (strong room) kutokana na tukio la wizi au au kujaribu kuiba.

Unaweza kupendezwa na