Bima Ya Moto

Maelezo

Bima hii inalipia hasara iliyopatikana kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali za Moto, Radi au Milipuko (inayosabishwa na gesi ya matumizi ya nyumbani). Hata hivyo bima hii ya moto imeboreshwa kulipia hasara zinazosababishwa na majanga maalumu kama vile:Hasara ya jumla, Kulipuka kwa Mabomba,Mafuriko,Tetemeko la Ardhi na Ajali ya Ndege.

Unaweza kupendezwa na