Akaunti ya hundi ya Bidii

Maelezo

Akaunti ya Bidii ni akaunti ya Hundi iliyobuniwa kwa ajili ya kuhudumia wafanya biashara wadogo na wa kati (Small and Medium Enterprises *SMEs*), kwa mtu mmoja mmoja(aliyejiajiri au aliyeajiriwa) anayejihusisha na biashara. Akaunti hii husaidia wateja wetu kukuza akiba zao.

  • Akaunti hufunguliwa kwa kutumia sarafu ya nyumbani (TZS) pekee
  • Kiwango cha chini cha kufungulia ni sh 50,000
  • Unapata riba ukiweka akiba
  • Akaunti hutumia TemboCardVisa au TemboCardMasterCard
  • Unaweza kufanya miamala kutumia nia ya simu(SimBanking) na kwa nia ya mtandao(Internet banking)
  • Kitabu cha hundi
  • Cheque book

Faida utakazozipata ukifungua akaunti hii.

  • Kufanya muamala hadi shilingi TZS 1,000,000 kwenye mashine za kutolea fedha (ATM) kila siku
  • Kutumia akaunti yako katika mashine za kutolea fedha za ATM zaidi ya 500 ukiwa na VISA/MasterCard kote nchini
  • Kufanya miamala ya fedha aina yoyote katika nchi unayoitembelea kote duniani.
  • Ni rahisi kutumia hundi kufanya malipo
  • Ni rahisi kufanya malipo kwa kutumia TemboCardVisa/TemboCardMasterCard kwa mawakala na kutimia mtandao(Internet)
  • Akaunti hufunguliwa na zaidi ya mtu mmoja
  • Unaweza kufanya miamala kutumia simu ya mkononi(SimBanking)na mtandao(Internet Banking)

Kwa mfanyabiashara binafsi 

·        Barua ya maombi

·        Cheti za usajili wa biashara

·        Taarifa ya msajili

·        Leseni ya biashara

·        Cheti za TIN namba

·        Picha mbili za ukubwa pasipoti

·       Kitambulisho (NIDA, kadi ya mpiga kura au Pasipoti)

 

Kwa makampuni 

·       Barua ya maombi

·       Muhtasari wa  bodi kufungia akaunti

·       Nyaraka za usajili wa kampuni  

·       Leseni ya biashara

·       Namba ya mlipa kodi

·       Picha mbili za watia sahihi na vivuli vya vitambisho vinavyokubalika


Viambatanisho vya ziada

  • Kwa makampuni ya kigeni:
  1. Cheti cha msajili wa makampuni
  2. Cheti cha usajili kutoka kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

Unaweza kupendezwa na