Akaunti ya Scholar

Maelezo

Kwa mwanafunzi mwerevu

Akaunti ya akiba maalum kwa wanafunzi ili kuwamwezesha kuweka akiba ya fedha ya  kujikimu matumizi ya kila siku wakiwa chuo. Ni akaunti maalum kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

Akaunti ya Scholar can now be applied through SimBanking App.

Pakua Sasa

Sifa 5 za Akaunti yetu ya Scholar

  • Inafunguliwa na kuendeshwa kwa TZS pekee

  • Unapata TemboCard Visa au MasterCard, SimBanking, na Internet Banking

  • Hakuna gharama ya kufungua akaunti

  • Hakuna makato ya mwezi ya uendeshaji wa akaunti

  • Gharama nafuu za miamala

  • Ni maalum kwa mtumiaji mmoja 


Sababu 6 za kufungua Scholar Account

  • Urahisi wa kujiwekea akiba ukiwa mwanafunzi

  • Unaweza kupata huduma ya Boom Advance (mkopo wa muda mfupi) 

  • Unaweza kulipa posho ya kujikimu

  • Urahisi wa kupata huduma za kibenki kupitia SimBanking, mtandao na CRDB Wakala 

  • Unaunganishwa na mfumo wa alama za vidole wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)

  • Uwezo wa kufanya manunuzi ya nguo, vitabu n.k mtandaoni.


Kufungua akaunti:


  • Uwe mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi

  • Uwe na kitambulisho cha chuo au shule

  • Kitambulisho halali kimoja (Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, Kitambulisho za Mzanzibari Mkaazi au Pasipoti) 

  • Picha 2 aina ya Pasipoti

  • Barua ya kujiunga na chuo au utambulisho kutoka chuo


Maswali

Amana zinaweza kufanywa kupitia njia tofauti kama Wakala wa CRDB, Simbanking, matawi ya CRDB, na uhamisho unaoingia kutoka kwa benki zingine na au MNOs.

Hapana

Kupitia Akaunti ya Scholar mteja anaweza kupata Boom mapema

Unaweza kupendezwa na