Akaunti ya Pensheni

Maelezo

Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia

Sifa 5 bora vya Akaunti yetu ya Pensheni

  • Inafunguliwa na kuendeshwa kwa TZS  

  • Haina kiwango cha chini cha kufungulia akaunti na kuendeshea akaunti  

  • Unapata riba kwenye kulingana na amana iliyopo  

  • Haina makato ya mwezi  

  • Inaendeshwa na mtu mmoja tu 


Sababu 7 za kufungua Akaunti ya Niamoja

  • Kufungua akaunti bure  

  • Hakuna gharama za mwezi za utunzaji akaunti  

  • Hakuna gharama za kutoa fedha tawini  

  • Unaweza kupata mkopo wa muda mfupi (Pensioner’s Advance) au mkopo wa wastaafu kulingana na pensheni yako  

  • Unaweza kuunganishwa na huduma za Simbanking na internet Banking  

  • Unaweza kupata TemboCard  

  • Utapata kipaumbele katika kupewa huduma tawini

Unaweza kupendezwa na