Bima ya Mikopo

Maelezo

Hutoa bima kwa mkopeshaji dhidi ya hasara ya kifedha ambayo anaweza pata kufuatia kifo au ulemavu wa kudumu wa mkopaji.

  • Hii inasaidia kuondoa shida zinazoweza kuletwa na kushikilia dhamana.
  • Taratibu za usimamizi zitahakikisha kuwa familia iliyofiwa haiachwi bila makao au na ulipaji wa mkopo uliobaki.

Unaweza kupendezwa na