Bima Binafsi Ya Ajali

Maelezo

Ukiwa kazini,upo uwezekano mkubwa wa kupata ajali na kukusababishia madhara mwilini. Gharama za matibabu kwa ajali za aina hiyo zinaweza kuwa changamoto kubwa. Hata hivyo huna haja ya kuubeba mzigo huo peke yako. Huduma hii kutoka Benki ya CRDB itagharamia matibabu, ulemavu uliosabaishwa na ajali ya aina hiyo na gharama za kifo iwapo kitatokea.

Unaweza kupendezwa na