Akaunti ya Muda Maalum

Maelezo

Weka fedha kwa muda maalum.

Aina ya akaunti ya kuwekeza inayompa mteja nafasi ya kuwekeza kwa Muda Maalum. Vipindi vilivyo ainishwa ni miezi 3, au 6 au 12 au 24. Mteja anapata riba nzuri kwa akiba/fedha alizoweka


Akaunti ya Muda Maalum can now be applied through SimBanking App.

Pakua Sasa

Sifa 6 za Akaunti yetu ya Muda Maalum

  • Akiba inawekwa kwa kipindi maalum
  • Inafunguliwa na kuendeshwa kwa TSH| USD| EURO | GBP  
  • Unapata riba ambayo inalipwa mwishoni mwa kipindi cha kuwekezaji
  • Kipindi cha kuwekeza ni kati ya miezi 3 au 6 au 12 au 24  
  • Unakabidhiwa risiti ya amana yako ya muda maalum.  
  • Endapo Mteja akatavunja mkataba wake kabla ya kufika kikomo atapoteza 50% ya riba yake. 

Sababu 6 za kufungua Akaunti ya Muda Maalum

  • Uhakika wa usalama wa akiba yako. 
  • Mteja anajua kiasi cha riba atakacholipwa wakati wa ukomo
  • Uwezo wa kuchagua muda unaotaka kuwekeza amana yako  (miezi 3 au 6 au 12 au 24)
  • Ni uwekezaji ulio salama  
  • Uwezo wa kupata mkopo wa muda mfupi (overdraft facility), kupitia risiti ya inakayotumika kama dhamana.

Ukiendeleza muda wa uwekezaji, riba yako pia inaongezeka

  • Kufungua akaunti, lazima…
  • Uwe na miaka 18 na kuendelea
  • Umiliki akaunti ya CRDB
  • Uwe na kitambulisho halali kimoja (Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, Kitambulisho za Mzanzibari Mkaazi au Pasipoti) 
  • Picha 2 aina ya Pasipoti

Maswali

Hapana, Mteja wa Akaunti ya Muda maalumu hawezi kupata kadi ya malipo ya CRDB kwani akaunti hii haikusudiwa kuwezesha shughuli

HAPANA, Mteja wa akaunti ya Amana hawezi kupata huduma ya SimBanking, kwani haijakusudiwa kuwezesha shughuli

NDIYO, mteja wa Amana iliyowekwa amepata mkopo na amana yake ya kudumu ikiwa dhamana ya mkopo Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Akaunti ya Amana

Riba ya Akaunti ya Amana iliyosimamishwa hulipwa mwishoni mwa mkataba (wakati wa kukomaa)

HAPANA, Akaunti ya Amana hairuhusu usajili wowote wa agizo maalumu iwe kuweka au kutoa kwa akaunti.

NDIYO, Akaunti ya Amana Iliyosimamishwa inaweza kughairishwa kwa ombi la mteja. Walakini kunaweza kuwa na adhabu zinazotolewa kwa riba iliyopatikana Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu Akaunti ya Amana

Mteja wa Akaunti ya Muda Maalumu anapewa Stakabadhi ya Amana Maalumu (FDR), ambayo inasainiwa na pande zote mbili (yaani mteja na mwakilishi wa benki). FDR inaonyesha maelezo yote ya mkataba pamoja na kiwango kilichowekwa, kiwango cha riba na umiliki.

Unaweza kupendezwa na