Fanya miamala
Njia za kufanya miamala za biashara yako
Xpronet
Xpronet ni suluhisho la mkondoni ambalo hukuruhusu kupata huduma za kibenki na kusindika shughuli za kifedha kwa urahisi.
Soma ZaidiInternet Banking
Pata taarifa ya akaunti yako ya biashara na kufanya miamala popote muda wowote.
Soma ZaidiCRDB Lipa Hapa
‘Go Cashless’ katika biashara yako kwa njia kibao zenye uhakika na usalama za kupokea malipo
Soma ZaidiUnaweza kupendezwa na
Kopa
Soma ZaidiWekeza
Soma ZaidiHuduma za Hazina
Soma ZaidiHuduma kwa Wateja Wakubwa
Kitengo chetu kinachohudumia wateja wakubwa (makampuni binafsi/umma). Kinatoa suluhisho la matatizo ya kifedha, ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo mikubwa na midogo, kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya ujenzi, huduma za mashirika, mikopo ya biashara na miradi ya kilimo.
Soma Zaidi