Instaprenyua
CRDB Bank
SW EN

Semina ya Instaprenyua 2026

Jifunze mikakati ya kuanzisha, na kukuza biashara yako mtandaoni pamoja na wataalamu na wajasiriamali wengine.

Jisajili sasa Lipia banda

Picha ya mfano ya mwanamke akionesha mkoba na bidhaa za urembo kwa mauzo mtandaoni.
Mahali pa tukioMlimani City
Tarehe21 - 22 Oktoba, 2026
MudaSaa 2 Asubuhi hadi Saa 11 Jioni