SimBanking

Maelezo

Tuko nawe masaa 24, siku 7 za wiki uendako na SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote. 

Huduma hii inapatikana kwa kubonyeza *150*03# au kwa kupakua programu ya SimBanking App kutoka App Store au Google Play

PAKUA APP

  • Intra-Bank Funds Transfer to any bank account within CRDB Bank network
  • Funds transfer to mobile money
  • Bills Payments (Brela, TPA, TRA, Luku, Dawasco/Moruwasa, Startimes, SUA etc.)
  • Airtime purchase for yourself and others
  • Ability to send money to people with no bank accounts or ATM cards (Cardless)
  • Access to Salary Advance
  • Balance and Mini statement inquiry
  • Alerts (notifications of TemboCards/Visa/ MasterCard usage).
  • Bilingual, allowing you the choice of Kiswahili or English.

Security

SimBanking is completely secure.  All transactions on SimBanking require your PIN. A PIN is needed each time to gain access to the service. Thus, even if an unauthorized person has possession of your phone, they cannot make any transaction on SimBanking without your PIN.

  • You can access your accounts anywhere, anytime
  • You can transfer funds to your loved ones without hassles
  • You can pay your bills at your convenience
  • Pay business partners and suppliers without stress and do your transactions around the clock
  • Maximize the use of your mobile phone

There are three ways to register on SimBanking;

  • Dial *150*03# on your mobile number and then follow the instruction to self-register
  • Visit any CRDB Bank ATM with your TemboCard to register yourself. See more details on how to register HERE
  • If you do not have a TemboCard, please visit any branch to register.


Maswali

Uhamisho wa fedha kwenda mitandao ya Simu – Milion mbili (2) kwa kila muamala, kwenda akaunti nyingine ya benki ya CRDB – Milioni nane (8), kwenda akaunti yako nyingine ya benki ya CRDB – Milioni kumi (10) kwa siku, Muda wa maongezi – Laki mbili (2) kwa muamala, Kutoa pesa kwenye ATM (Cardless) – Milioni 1, Kutoa pesa tawini bila kujaza karatasi (Paperless) – Milioni ishirini (20)

Kupitia Usajili kwenye ATM. Sehemu ya 1 - kwenye ATM Tembelea ATM ya CRDB Ingiza kadi ya ATM na uweke PIN Chagua huduma zingine Chagua usajili wa SimBanking Chagua Mabadiliko ya Nambari ya Simu Chagua akaunti Ingiza nambari ya simu iliyosajiliwa hapo awali Ingiza nambari mpya ya simu Thibitisha maelezo Utapokea SMS na PIN ya awali Sehemu ya 2 - Kwenye namba mpya ya simu 1. Piga * 150 * 03 # 2. Ingiza nambari ya akaunti 3. Ingiza PIN ya awali – uliyo pokea kwenye SMS 4. Thibitisha PIN Kupitia matawi ya CRDB ya Karibu bila hitaji la Kadi ya ATM.

Ndiyo. Piga * 150 * 03 #, kisha weka PIN Chagua Chaguo 2. Tuma pesa Chagua Chaguo 3. Benki zingine 4. Chagua akaunti ya kutumika 5. Andika herufi tatu za kwanza za benki nyingine 6. Chagua Benki 7. Ingiza akaunti ya walengwa, Kisha Jina la mlengwa, kisha Kiasi Thibitisha.

Unahitaji kusajiliwa kwenye SimBnking USSD (* 150 * 03 #) kisha, Pakua SimBanking App kupitia Google Play store au App Store. Kisha weka namba ya akaunti iliyounganishwa na simbanking USSD (*150*03#), namba ya simu iliyounganishwa na SimBanking USSD (* 150 * 03 #), Weka namba ya siri ya simbanking( PIN) kisha weka pini ya maramoja(OTP). Ili kupata OTP piga * 150 * 03 #, chagua 7, huduma kisha, chagua 4, usajili wa App App. Ndani ya masaa 24 utapata OTP ilikukamilisha usajili kwa kuweka namba ya simu ya SimBanking, namba ya siri ya SimBanking kisha OTP iliyotumwa kwenye ujumbe mfupi(sms).

Ingia kwenye SimBanking App, Chagua kadi ya kufunga, chagua zuia kadi kisha funga kadi

Uhamisho wa fedha kwenda mitandao ya Simu – Milion mbili (2) kwa kila muamala, kenda akaunti nyingine ya benki ya CRDB – Milioni nane (8), kwenda akaunti yako nyingine ya benki ya CRDB – Milioni kumi (10) kwa siku, Muda wa maongezi – Laki mbili (2) kwa muamala, Kutoa pesa kwenye ATM (Cardless) – Milioni 1, Kutoa pesa tawini bila kujaza karatasi (Paperless) – Milioni ishirini (20)

Ingia kwa SimBanking App Bonyeza mipangilio Chagua unganisha akaunti zangu zingine Tiki akaunti hizo na ubonyeze thibitisha

Unaweza kupendezwa na