Akaunti
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Malkia
Akaunti ya Malkia ni akaunti ya wanawake iliyo na lengo la kufanikisha mipango yako ya kuweka akiba kwa ajili yako.
Akaunti ya Akiba
Ukiwa na akaunti ya akiba, utaweza kuweka akiba itakayokusaidia kwa ajili ya mahitaji yako ya baadae
Akaunti ya Junior Jumbo
Akaunti hii ni mahsusi kwa wazazi au walezi kuweza kuwawekea akiba watoto wao.
Akaunti ya Scholar
Akaunti ya akiba iliyoundwa kwa wanafunzi kuwawezesha kuendesha mahitaji yao ya kifedha na kujikimu wakiwa chuo kikuu au shuleni.
Akaunti ya Salary
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Fahari Kilimo
Akaunti iliyoundwa kwajili ya wakulima kuwawezesha kuokoa na pia kusaidia katika shughuli za kila siku kwenye kilimo.
Fahari Kilimo Current Account
An account designed for cooperatives, farmer's association and farmer's groups
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti | Akaunti ya hundi | Akaunti ya Malkia | Akaunti ya Akiba | Akaunti ya Junior Jumbo | Akaunti ya Scholar | Akaunti ya Salary | Akaunti ya Teen | Niamoja | Akaunti ya Pensheni | Akaunti ya Simba | Akaunti ya Yanga | Akaunti ya Fahari Kilimo | Fahari Kilimo Current Account |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sarafu (TZS, GBP, USD, EUR) | |||||||||||||
Kiwango cha chini cha Uendeshaji | |||||||||||||
Hupata Riba kwa Amana | |||||||||||||
Ada ya uendeshaji ya kila mwezi | |||||||||||||
Uendeshaji wa Akaunti ya Pamoja | |||||||||||||
Bima ya KAVA bure | |||||||||||||
Ina Huduma ya SimBanking na Internet Banking | |||||||||||||
TemboCard VISA/MasterCard | |||||||||||||
Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi |