Events Calendar
20
Tumeungana na wadau kuwezesha Biashara changa kupitia programu ya IMBEJU
Venue: CRDB Bank HQ (Auditorium)
FREE
Dar es Salaam 20 Februari 2023 – Katika mwendelezo wa kusaidia jitihada za Serikali kukuza ujumuishi wa kiuchumi nchini, Benki ya CRDB leo imeingia mkataba wa makubaliano na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia programu yake ya ‘IMBEJU’ iliyojikita katika uwezeshaji wa wanawake na vijana kiuchumi.
Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba wa makubaliano, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema ushirikiano na taasisi hizo za Serikali utasaidia kufanikisha malengo ya programu kwa kiasi kikubwa kutokana na jinsi uzoefu wa taasisi hizo katika kuwawezesha vijana wabunifu katika sekta mbalimbali.
“Ili kuifanya programu hii kuwa yenye ufanisi na kufikia walengwa wengi, tumeona ni vyema kutafuta wadau ambao wana mawazo kama yetu yaani “like-minded partners”. ICTC na COSTECH wamekuwa wakifanya kazi nzuri ambayo inaakisi utayari wa Serikali yetu katika kukuza biashara na mawazo ubunifu, hivyo tunajivunia kwa hatua hii muhimu,” alisema.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga amesema mkataba wa makubaliano waliongia na Benki ya CRDB utakwenda kusaidia upatikanaji wa mitaji wezeshi kwa biashara changa katika sekta ya TEHAMA, pamoja na kutoa usaidizi wa kuboresha mawazo na biashara bunifu, jambo litakalosaidia kukuza ajira nchini.
Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu amesema makaubaliano waliyoaingia na Benki ya CRDB yanakwenda kuoanisha IMBEJU na programu za taasisi hiyo zinazochochea ubunifu wa kibiashara ikiwamo MAKISATU jambo litakalosaidia kuchochea kasi ya ukuaji wa biashara changa katika sekta mbalimbali.
Katika hafla hiyo, Benki ya CRDB pia iliutangazia umma kuanzishwa kwa taasisi isiyo ya faida ya “CRDB Bank Foundation” yenye jukumu la kuanzisha na kutekeleza programu bunifu, endelevu, na shirikishi zinazolenga kuleta ustawi wa kijamii, na kiuchumi kama ‘IMBEJU’. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alimtambulisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa kama Mkurugenzi Mtendaji mwanzilishi wa taasisi hiyo ya CRDB Bank Foundation. Akizungumza kwa mara ya kwanza kama Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB BankFoundation, Mwambapa amewataka vijana wabunifu kuchangamkia fursa inayotolewa na benki hiyo kupitia programu ya IMBEJU inayotekelezwa kwa kushirikiana na ICTC, na COSTECH. “Mkataba tulioingia leo unatupa uwezo wa kushirikiana na ICTC na COSTECH kufanya utambuzi wa biashara changa bunifu zinazohitaji usaidizi. Niwaombe vijana kutumia mifumo ya utambuzi ya taasisi hizi ili kunufaika na fursa hii,” amebainisha Tully. Mwambapa alitumia fursa hiyo pia kuwaalika vijana kushiriki semina maalum ya uwezeshaji iliyoaandaliwa na Benki ya CRDB tarehe 11 Machi 2023 katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo programu hiyo itaingizwa sokoni rasmi, na uwezeshaji kuanza kufanyika. Mgeni rasmi katika hafla hiyo anatarajiwa kuwa, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.
Register now
Benki ya CRDB jana ilisisitiza dhamira yake ya kulifanya tamasha la Kizimkazi kuwa jukwaa kubwa na endelevu litakalotangaza vivutio vya utalii vya Zanzibar na juhudi za uhifadhi wa mazingira.
Register now
Wanahisa wetu watafahamu ni kiasi gani watapokea kupitia gawio la mwaka huu wakati CRDB Plc itakapofanya Mkutano Mkuu wa 26 wa Mwaka (AGM) mwishoni mwa wiki hii. Mwaka jana, Benki ya CRDB Plc ilifanikiwa kuvunja rekodi yake ya 2015 kwani faida yake halisi imepanda hadi Sh bilioni 153 kutoka Sh123 bilioni mwaka wa 2019. Kabla ya mwaka jana, faida ya juu iliyorekodiwa ilikuwa Sh129 bilioni mwaka 2015.. Kwa hakika, faida ya mwaka jana kabla ya kodi - ambayo ilikuwa Sh236 bilioni – ikiwa ni ongezeko la asilimia 15 kutoka faida kabla ya kodi ya Sh175 bilioni iliyosajiliwa mwaka 2019. Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela aliwaambia waandishi wa habari katika hoteli ya Mount Meru mjini hapa jana kuwa wanahisa hao ambao hawataweza kuhudhuria hafla hiyo. mkutano wa ana kwa ana mjini Arusha utaweza kufanya hivyo kupitia jukwaa la kidijitali. "Mkutano wetu wa 25 wa AGM mwaka jana ulifanyika kwa hakika na ni kutokana na mkutano huo ambapo wanahisa walipendekeza kwamba mkutano wa 26 ufanyike kwa mtindo wa kawaida lakini wakati huo huo kuruhusu wanahisa wengine kuhudhuria kwa karibu," alisema. Mkutano mkuu ulitanguliwa na semina ambapo wanahisa watafundishwa kuhusu masuala kadhaa yanayohusu fedha na uwekezaji katika masoko ya mitaji. Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba alitamba katika hafla hiyo ambapo wataalamu wa fedha, sheria na uwekezaji katika masoko ya mitaji watawachukua wanahisa wa Benki ya CRDB Plc kupitia mawasilisho kadhaa. Mwaka jana, zaidi ya wanahisa 1,400 walishiriki katika AGM ya mtandaoni ya benki hiyo kulingana na hatua za kitaifa za kuzuia Covid-19.
Register now
Safari yako ya ajira inaanza hapa. Tukutane Career Fair 2022 pale Chuo cha Uhasibu Singida, Jumamosi Tar 28 Januari, upate maelezo zaidi kuhusu sekta ya fedha na uongozi.
Register now
05
FREE
Africa's Food Systems Forum 2023 Summit’s theme, “Recover, Regenerate, Act: Africa’s Solutions to Food Systems Transformation,” focuses on building back better food systems and food sovereignty with youth and women at the center. The theme identifies three steps needed to achieve this transformation: Recovery, Regenerate, and Act.
Register now
CRDB was at the World Bank meetings that happened in October in Washington, D.C. We were able to meet and structure next steps in creating impact for our communities.
Register nowCRDB will be present at the United Nations General Assembly, joining global leaders, institutions, and stakeholders to discuss solutions for sustainable development. This platform provides an opportunity to strengthen partnerships that drive financial inclusion, green growth, and community impact across Africa.
Register nowThis side event sought to explore and promote practical, innovative financial solutions, focusing on strategies that could effectively bridge the financing gap. By highlighting successful models, fostering dialogue among stakeholders, and identifying actionable strategies, this event aimed to develop a more inclusive and supportive financial ecosystem for African MSMEs, enabling them to thrive and contribute significantly to the continent's economic transformatio
Register nowCRDB was present at the Afreximbank Annual General Meetings and participated in conversations directing the development of Africa
Register nowAnnouncement of the quarterly financial results - 4th Quarter 2024
Register nowPublication of Audited Financial Statements
Register nowSending of Annual General Meeting notice to the News Media
Register nowTrading of Shares Cum Dividend – during this period, the buyer will be entitled to receive dividends from the financial year ending 31st December 2024.
Register nowThe appearance of the 2025 Annual General Meeting notice in the media.
Register nowSend AGM notice to shareholders through post, SMS, and email.
Register nowAnnouncement of the quarterly financial results - 1st Quarter 2025.
Register nowTrading of Shares Ex-Dividend – buyers who buy shares on or after the ex-dividend date will not be entitled to the dividend payment from the financial year ending 31st December 2024; the seller who held the shares before the ex-dividend date will be entitled to receive these dividends.
Register nowClosure of Members Register (for dividend payment) – i.e. the final date to be listed as a shareholder eligible for the upcoming dividend payout in relation to the financial year ending 31st December 2024.
Register nowOnline Registration of shareholders who will be attending the Annual General Meeting.
Register nowParticipate in this engaging session built to inform shareholders and participants -connect and deepen investment-related knowledge.
Register nowHear directly from the Board and Management on the bank’s performance and strategy, and help shape key decisions, such as board member elections and auditor approvals.
Register nowCommencement of dividend payout in relation to financial year ending 31st December 2024.
Register nowAnnouncement of quarterly financial results - 2nd Quarter 2025.
Register nowAnnouncement of quarterly financial results - 3rd Quarter 2025
Register nowAl-Barakah Sukuk has a 5-year tenure, carries a 12% profit paid quarterly, with profit payment commencement date of 8th October 2025 and matures on 8th October 2030.
Register now
Samia Bond has a 5-year tenure, carries a 12% coupon paid quarterly, with interest commencement date of 10th February 2025 and matures on 10th February 2030.
Register nowGreen Bond has a 5-year tenure, carries a 12.5% coupon paid biannually, with interest commencement date of 23rd April 2024 and matures on 23rd October 2028.
Register now