Wanaoishi Ughaibuni (Diaspora)
Akaunti ya Tanzanite
Akaunti ya Tanzanite ni akaunti ya akiba iliyobuniwa kwa ajili ya raia wa Tanzania wanaoishi Ughaibuni(Nchi za Nje).
Jijenge
Mikopo ya Jijenge ni mikopo ya muda mrefu inayotolewa kwa wateja wa CRDB wenye malengo ya kujenga, kununua au equity release ya nyumba.
Bima ya KAVA
Bima ya KAVA ni huduma ya bima inayotolewa BURE kwa wateja wa CRDB wenye Akaunti binafsi.
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti | Akaunti ya Tanzanite | Jijenge | Bima ya KAVA |
---|---|---|---|
Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi |