Bima ya KAVA
Maelezo
Bima ya KAVA ni huduma ya bima inayotolewa BURE kwa wateja wa CRDB wenye Akaunti binafsi. Kupitia bima hii, Benki inatoa “Mkono wa Pole” pale mteja anapofariki au kufiwa na mwenza wake au kupata ulemavu wa kudumu. Mnufaika wa bima hii ni Mteja mwenye akaunti ya kawaida, Mteja wa daraja la juu (Premier Customer) na Mteja anayeishi nje ya Nchi (Diaspora)

- Upatikanaji wa fedha kusaidia shughuli ya mazishi ya kifo cha mmiliki wa akaunti ya Tanzanite na/ au mwenzi wake TSH 5,000,000
- Kurejesha mwili nyumbani kwa mmiliki wa akaunti ya Tanzanite na mwenzi wake hadi 15,000,000
- Tiketi moja ya ndege ya bure ya kurudi kusindikiza mwili

Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya Tanzanite
Akaunti ya Tanzanite ni akaunti ya akiba iliyobuniwa kwa ajili ya raia wa Tanzania wanaoishi Ughaibuni(Nchi za Nje).
Jijenge
Mikopo ya Jijenge ni mikopo ya muda mrefu inayotolewa kwa wateja wa CRDB wenye malengo ya kujenga, kununua au equity release ya nyumba.