Karibu! una hitaji huduma gani?
Nini Kipya?
BENKI YA CRDB KWENYE HABARI
Benki ya CRDB yawashukuru wateja Tuzo ya ‘Benki Bora Tanzania’ ya Euromoney
GLOBAL Finance Magazine la Marekani limeitangaza Benki ya CRDB Plc kuwa mshindi wa Benki bora nchini Tanzania kwa mwaka wa tatu mfululizo. GF pia iliitaja benki hiyo kuwa yenye ubunifu zaidi katika soko la ndani kutokana na uwekezaji katika njia za kibenki za kidijitali.
Soma ZaidiKUTOKA KWA WATEJA WETU
Maoni zaidi kutoka kwako mtandaoni
Benki ya CRDB imetumia mfumo wake wa kidijitali kupokea maoni ya wateja kwa njia rahisi na kuyafanyia kazi ili kuboresha na kutoa huduma bora za kibenki.
Soma ZaidiBENKI YA CRDB KWENYE HABARI
Ulimwengu usio na mipaka
Makao yetu mapya ni sawa na ulimwengu usio na mipaka kwani lina miundombinu ya kisasa itakayowawezesha wafanyakazi wetu kuwa wabunifu zaidi ili kuweza kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Soma ZaidiZAIDI YA BENKI
CRDB Marathon 2022
Dar es Salaam 14 Agosti 2022 – Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa pongezi kwa mbio za hisani za kimataifa zinazoandaliwa na Benki ya CRDB “CRDB Bank Marathon” kwa kufikisha lengo la kukusanya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kusaidia jamii.
Soma Zaidi