Faida na Gawio
Bondi hii inatoa riba ya asilimia 12 kwa mwaka, inayolipwa kila robo mwaka ndani ya kipindi cha miaka mitano.
Kwa Mfano;
Ikiwa utawekeza TZS 1,000,000 kwenye Bondi ya Miundombinu ya Samia yenye riba ya 12% kwa mwaka,
utapata riba ya TZS 120,000 kwa mwaka. Riba hii inalipwa kila robo mwaka, kwa hivyo kila miezi
mitatu utapokea TZS 30,000/=