Benki Kimpango Wako
Benki ya CRDB tunaenda sawa na kasi ya maisha yako—kuanzia mipango binafsi, familia, biashara hadi taasisi.
Urahisi Unaouhitaji
Huduma rahisi, haraka na salama zinazolingana na mpango wako, zikikusaidia kuokoa muda na kuwekeza nguvu kwenye kinachokujenga.
Unachoweza Kufanya Leo
- Fungua akaunti kwa dakika chache
- Fanya malipo & uhamisho popote, muda wowote
- Simamia fedha kwa usalama na uaminifu
Vijana
Tunakonekt na mishe zako, ili ukomboe muda wako
Mwendo makomborero hadi uvae Joho!
#BenkiKimpangoWako
Ndoto zako zinakonekt popote
#BenkiKimpangoWako
Benki Kimpango Wako
Mwendo makomborero hadi uvae joho!
Mwanamke
Benki ya CRDB inaendana na mpango wako wa ukuaji tangu ukijipanga kuwa Malkia mwenye maono na kiongozi wa familia. Sisi tutakuwa pamoja na wewe tangu siku ya kwanza ya wazo lako hadi kubadili wazo kuwa jambo kubwa la kujivunia umalkia wako. Hakika tunakupa uhuru wa kufanya utakavyo ili ukomboe muda wako
Muda wako ni mali kwa uwapendao
#BenkiKimpangoWako
Wajasiriamali
Tunakuondolea stress kwenye biashara ili ukomboe muda wako
Hapo zama, jogoo aliwahi kuwa yai
#BenkiKimpangoWako
#BenkiKimpangoWako
Benki Kimpango Wako
Hapo zama, jogoo aliwahi kuwa yai
Waajiriwa
Tunakuondolea stress ukiwa kazini ili ukomboe muda wako.
Tumikia Taifa, timiza mishe binafsi
#BenkiKimpangoWako
#BenkiKimpangoWako
Benki Kimpango Wako
Huu ni wakati wa kutiki KPI zako
Wateja Wakubwa
Tunakuondolea stress kwenye biashara ili ukomboe muda wako.
Msingi imara wa taasisi zenye maono
#BenkiKimpangoWako
Thamani ya leo. Athari ya kesho.
#BenkiKimpangoWako
Uwanja mpana wa maamuzi sahihi ya kifedha
#BenkiKimpangoWako
Biashara bila mipaka na mshirika wa uhakika
#BenkiKimpangoWako
Benki Kimpango Wako
Huu ni wakati wa kutiki KPI zako
Upo Tayari Kukomboa
muda wako?
Benki ya CRDB ina huduma zinazoendana na mpango wako