Niamoja

Maelezo

Fanya zaidi, pamoja.

Tunawapa ushirikiano na kuhakikisha usalama unaorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa fedha kwa vikundi rasmi na visivyo rasmi mfano VICOBA, vikundi vya kifamilia na vya kwenye mitandao ya kijamii. Fungua akaunti leo mkiwa na kiwango chochote kwanzia TSH

20000 tu!

Sifa 6 za Akaunti yetu ya Niamoja 

  • Akaunti inafunguliwa kwa TSH 

  • Kiwango cha kufungulia akaunti ni - TSH 20,000  

  • Haina makato wala gharama za uendeshaji

  • Riba italipwa kulingana na amana iliyopo

  • Hakuna Salio la chini la Uendeshaji

  • Idadi ya chini ya washiriki wa kikundi ni 2, bila idadi ya juu zaidi

Sababu 6 za kufungua Akaunti ya Niamoja

  • Hakuna gharama za mwezi za uendeshaji wa akaunti  

  • Hakuna gharama wakati wa kutoa fedha kwenye akaunti  

  • Michango na malipo kutoka kwa wanachama yanafanyika kwa uharaka kupitia Simbanking, CRDB Wakala, matawi ya CRDB, SimAccount au mitandao ya simu

  • Inatoa riba kulingana na akiba 

  • Fungua kwa vikundi vilivyosajiliwa na visivyosajiliwa


  • Inastahiki kuomba hundi

Kufungua akaunti:

  • Muhtasari wa kikao kilichoridhia kufungua akaunti ya kikundi na uendeshaji wa

  • akaunti

  • Barua ya utambulisho kutoka halmashauri au serikali ya mitaa (kwa kikundi kisicho

  • rasmi) au cheti cha usajili wa kikundi (kwa kikundi rasmi)

  • Katiba ya kikundi

  • Kwa watia saini, kitambulisho kimoja wapo aidha kitambulisho cha taifa NIDA,

  • kitambulisho cha Zanzibar, kitambulisho cha kupigia kura, hati ya kusafiria au leseni

  • ya udereva

  • Picha 2 mbili za pasipoti saizi kwa kila mtia saini wa kikundi

Unaweza kupendezwa na