Akaunti ya Salary
Maelezo
Simamia mshahara wako kirahisi.
Hii ni Akaunti ya akiba inayorahisisha malipo ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali, kampuni binafsi na taasisi mbalimbali. Inakuwezesha kusimamia mshahara wako, kulipa bili na kuweka akiba.
Simamia mshahara wako kirahisi.
Hii ni Akaunti ya akiba inayorahisisha malipo ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali, kampuni binafsi na taasisi mbalimbali. Inakuwezesha kusimamia mshahara wako, kulipa bili na kuweka akiba.
Sifa 5 za Akaunti Yetu ya Salary
Akaunti inafunguliwa kwa TSH au USD
Kiasi cha kufungulia akaunti ni TSH 20,000 au kiwango kinacholingana na hicho kwa USD
Riba inalipwa kulingana na akiba uliyoweka
Unapata Inawezesha malipo ya mshahara kwa uharaka
Urahisi wa kufanya miamala masaa 24 kwa kutumia TemboCard au Simbanking
Sababu 6 za kufungua Akaunti ya Salary
Unapata mishahara kwa wakati
Uwezo wa kupata huduma wakati wote kupitia ATMs, SimBanking, huduma za kibenki kupitia mtandao na CRDB Wakala
Urahisi wa kuweka akiba
Unapata kadi ya benki papo hapo
Unaweza kupata mikopo kwa ajili ya wafanyakazi; “Salary Advance”/ “Personal loan”
Unapata huduma ya KAVA Assurance Bure (Mteja binafsi na/au mwenzi wake): Bima ya maisha TSH Milioni 2 na Bima ya ulemavu wa kudumu (kwa mwenye akaunti) TSH Milioni 2
Kufungua akaunti:
Uwe mfanyakazi uliyeajiriwa na taasisi iliyosajiliwa na kutambulika mwenye umri kuanzia miaka 18
Uwe na kitambulisho halali kimoja (Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, Kitambulisho za Mzanzibari Mkaazi)
Uwe na picha 2 aina ya Pasipoti (Kwa wateja wasio na Namba au kitambulisho cha NIDA)
Uwe na kitambulisho cha kazi na barua ya utambulisho kutoka kwa mwajiri
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Malkia
Akaunti ya Malkia ni akaunti ya wanawake iliyo na lengo la kufanikisha mipango yako ya kuweka akiba kwa ajili yako.
Akaunti ya Akiba
Ukiwa na akaunti ya akiba, utaweza kuweka akiba itakayokusaidia kwa ajili ya mahitaji yako ya baadae
Akaunti ya Junior Jumbo
Akaunti hii ni mahsusi kwa wazazi au walezi kuweza kuwawekea akiba watoto wao.
Akaunti ya Scholar
Akaunti ya akiba iliyoundwa kwa wanafunzi kuwawezesha kuendesha mahitaji yao ya kifedha na kujikimu wakiwa chuo kikuu au shuleni.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Fahari Kilimo
Akaunti iliyoundwa kwajili ya wakulima kuwawezesha kuokoa na pia kusaidia katika shughuli za kila siku kwenye kilimo.
Fahari Kilimo Current Account
An account designed for cooperatives, farmer's association and farmer's groups