Uwezeshaji wa Hajj na Umrah

Maelezo

Uwezeshwaji  wa Hajj na Umrah ni huduma maalum inayotolewa na Benki ya CRDB kwa wateja wake wanaotaka kwenda kutekeleza ibada ya Hajj na Umrah katika mji mtakatifu wa Makkah. Uwezeshwaji  huu unakupa wewe mteja wetu fursa ya kuitimiza ibada hiyo unapohitaji kwa utaratibu mzuri wa malipo kidogo kidogo ya hadi miaka mitatu

  • Uwezeshwaji unafuata misingi ya Shariah
  • Uwezeshwaji unatolewa kwa wateja walioajiriwa, waliojiajiri na wastaafu
  • Wateja waajiriwa wanaweza kuwezeshwa hadi 80% ya gharama
  • Wateja waliojiajiri wanaweza kuwezeshwa hadi 5O% ya gharama
  • Kipindi cha malipo ni hadi miaka mitatu
  • Kiwango cha juu cha mkopo ni
  • TZS Milioni 30 kwa mteja mmoja

  • Unapata amani ya nafsi kwa sababu uwezeshaji unafuata misingi ya Shariah
  • Unapata fursa ya kufanya ibada ya Hajj au Umrah wakati unaohitaji
  • Unaweza kulipa kidogo kidogo kulingana na kipato chako

  • Lazima mteja awe na akaunti na CRDB Al Barakah
  • Mteja awe na umri wa baina ya miaka 18 na 80
  • Mteja muajiriwa awe na angalau 20% ya gharama za Hajj au Umrah katika akaunti yake
  • Mteja aliejiajiri awe na angalau 50% ya gharama za Hajj au Umrah katika akaunti yake

Unaweza kupendezwa na