Bima ya Moto
Maelezo
Bima hii inalipia hasara iliyopatikana kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali za Moto, Radi au Milipuko (inayosabishwa na gesi ya matumizi ya nyumbani).
Hata hivyo bima hii ya moto imeboreshwa kulipia hasara zinazosababishwa na majanga maalumu kama vile:Hasara ya jumla, Kulipuka kwa Mabomba,Mafuriko,Tetemeko la Ardhi na Ajali ya Ndege.

Unaweza kupendezwa na
Bima ya Chombo cha Moto
Bima maalum ili kulilinda chombo chako cha moto dhidi ya wizi au hasara itakayosababisha uharibifu
Bima ya Mikopo
Hutoa bima kwa mkopeshaji dhidi ya hasara ya kifedha ambayo anaweza pata kufuatia kifo au ulemavu wa kudumu wa mkopaji.
Bima Binafsi Ya Ajali
Ukiwa kazini au unacheza,upo uwezekano mkubwa wa kupata ajali na kukusababishia madhara mwilini.
Usalama wa nyumbani
Usalama wa mali kutokana na upotevu au hasara ndani ya nyumba ya mteja
Bima ya Maisha ya Kikundi
Linda familia yako kutoka hatari zisizo na mpango na Bima ya Maisha ya Kikundi ya Benki ya CRDB
Medical Insurance
For in-patient, out- patient and referral