Dhamana Na Uaminifu

Maelezo

Aina hii ya Bima inasimamia upotevu wa Fedha,Mali iliyokatiwa Bima kutokana na kutokuwepo kwa uaminifu kutoka kwa waajiri wakati wafanyakazi wakiwa kazini. Bima hii pia inasimamia usalama wamali iliyochuliwa kama dhamana.

Unaweza kupendezwa na