Akaunti ya Malkia
Maelezo
Je, wewe ni mwanamke unayejituma kufikia malengo na ndoto zako? Akaunti ya Malkia imetengenezwa kipekee kusaidia wanawake kama wewe kuweka akiba kwa malengo maalum.
Ukiwa na Akaunti ya Malkia, utaweza kutimiza majukumu yako yote ya kifedha, pamoja na malengo na ndoto zako binafsi. Iwe ni katika uwekezaji, elimu, biashara, au afya, unaweza kuweka kiasi kidogo kidogo kila mwezi na baada ya muda kukusanya kiasi ambacho kinatosha kwa malengo yako makubwa!
Je, wewe ni mwanamke unayejituma kufikia malengo na ndoto zako? Akaunti ya Malkia imetengenezwa kipekee kusaidia wanawake kama wewe kuweka akiba kwa malengo maalum.
Ukiwa na Akaunti ya Malkia, utaweza kutimiza majukumu yako yote ya kifedha, pamoja na malengo na ndoto zako binafsi. Iwe ni katika uwekezaji, elimu, biashara, au afya, unaweza kuweka kiasi kidogo kidogo kila mwezi na baada ya muda kukusanya kiasi ambacho kinatosha kwa malengo yako makubwa!
Sifa 5 bora vya Akaunti yetu ya Malkia
Inaweza kufunguliwa na kuendeshwa kwa TZS au USD
Unahitaji tu TZS 5,000 au kiasi sawa katika USD kama salio la chini kabisa la ufunguzi
Riba yako inahesabiwa na kulipwa kila mwezi.
Haukatwi ada za kila mwezi na miamala
Unapata mikopo ya dharura ya hadi 90% ya kiasi ulichonacho kwenye akaunti
Sababu 4 za kufungua Akaunti ya Malkia
Ni chaguo la kitofauti katika uwekaji wa akiba
Unapokea marejesho mazuri kupitia riba jumuishi inayolipwa kila mwezi
Unapata punguzo la hadi asilimia 15 kwa bima zote utakazonunua kutoka Benki ya CRDB
Unapata mikopo ya dharura ya hadi asilimia 90 ya akiba yako ili kukidhi majukumu ya kifedha ya muda mfupi bila kugusa akiba yako.
Kufungua akaunti:
Uwe mwanamke mwenye umri wa miaka 18 na zaidi
Uwe na kitambulisho Halali (Kitambulisho cha NIDA/Nambari, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Pasipoti, Leseni ya Udereva au Kitambulisho cha Zanzibar)
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Akiba
Ukiwa na akaunti ya akiba, utaweza kuweka akiba itakayokusaidia kwa ajili ya mahitaji yako ya baadae
Akaunti ya Junior Jumbo
Akaunti hii ni mahsusi kwa wazazi au walezi kuweza kuwawekea akiba watoto wao.
Akaunti ya Scholar
Akaunti ya akiba iliyoundwa kwa wanafunzi kuwawezesha kuendesha mahitaji yao ya kifedha na kujikimu wakiwa chuo kikuu au shuleni.
Akaunti ya Salary
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.