CRDB Lipa Hapa

Maelezo

CRDB Lipa Hapa inawawezesha wafanyabiashara wenye biashara ndogo na kubwa kupokea malipo kwa urahisi na usalama kutoka kwa wateja wao wenye kadi za malipo au Simu za mkononi.

Huduma hii inatumika katika, Sehemu za Burudani na Michezoni, Hospitali, Maduka ya Dawa, Maduka ya Chakula na Vinywaji, Hoteli, Maduka ya Nguo & Viatu, Maduka ya Nyama, nk.

Wateja wenye kadi za VISA, UPI , MasterCard, AMEX, MAESTRO na CIRRUS au watumiaji wa SimBanking na Mitandao ya Simu wanaweza kulipa kuja katika akaunti yako moja ya benki.


Huduma

POS (Point of Sale)
QR Code /Lipa Namba
Online Gateway



Pokea malipo ya kadi au simu kwa kugusisha au kuingiza kadi kwa wateja wenye Visa, Union Pay (UPI), MasterCard, AMEX, Maestro na Cirrus.

Pokea malipo kutoka kwa wateja wanaotumia simu za mkononi, ambapo wataweza kuscan au kulipa kwa Lipa Namba.

Tunailiwezesha duka lako kupitia tovuti au app kupokea malipo kwa watumiaji wenye kadi za benki (Visa, MasterCard & AMEX).


Mahitaji ya Kupata huduma

Mahitaji
POS QR/Lipa Namba
Online
Mtoa Huduma awe na biashara halali au duka



Akaunti ya benki



Anuani na leseni ya biashara



Biashara ambayo inauza bidhaa au huduma mtandaoni



Awe na kitambulisho halali (Kupiga Kura, NIDA)



  • POS (Point of Sale)

Accept card payments by tapping customer card or a mobile phone; or dipping / swiping card on the POS

 

  • QR Code /Lipa Namba

Accept digital payment through Quick Response code (QR) or Lipa Namba from mobile phone (Banks and Mobile Money)

 

  • Online Payment Gateway

Accept online payments on your website or App securely from customers with Visa, Union Pay-UPI, American Express or MasterCard. The gateway is powered by CyberSource.

  • Payments are credited into your bank account
  • Convenient and flexible way of accepting payment
  • No more queues, no more counting of bills or giving change to customers
  • Less cash handling hence less risk from viral infection, theft and counterfeits
  • Accepts Visa, Union Pay-UPI, MasterCard, AMEX, Maestro and Cirrus.
  • Accepts payment from all banks and mobile network operators
  • Free trainings and dedicated relationship manager
  • Free on email tips about business

Closing Message

We’re ready to support and grow your business as the reliable and secure payment service provider, by making your business accept both card and mobile phone users

Queries: [email protected]

Maswali

Ndio, kadi za Visa, UPI na MasterCard kutoka Benki zote zinaweza kulipa katika huduma zetu

Hapana, hakuna makato yoyote wakati wa kulipa na kadi.

Ndio, kupitia Lipa Namba, hii inamuwezesha mteja kulipa kwa kutumia mitandao ya simu au benki nyingine.

Hapana, mteja hakatwi makato ya ziada wakati akilipa. Ingawa, mteja anaweza kukatwa makato ya ziada ikiwa atatumia mitandao ya simu.

Muombe mteja ajaribu tena muamala, kwakuwa muamala wa awali utarudishwa ndani ya muda mchache.

Huduma inayoiwezesha biashara kupokea malipo kutoka kwa wateja wenye kadi (VISA, UPI, AMEX, MasterCard, CIRRUS na MAESTRO) au simu.

Biashara inaweza kupewa POS (Point Of Sale), Online Payment Gateway, QR Code au Lipa Namba kutokana na aina ya biashara husika.

Mtoa Huduma awe na biashara halali au duka, Akaunti ya benki, Anuani na leseni ya biashara, Biashara ambayo inauza bidhaa au huduma mtandaoni.

Biashara ambayo inauza bidhaa katika Tovuti/Mtandaoni au App, Mtoa Huduma awe na biashara halali, Akaunti ya benki, Anuani na leseni ya biashara.

Biashara yoyote ambayo yenye Akaunti ya benki ya CRDB, Anuani na leseni ya biashara.

Kifaa kinachotumika kupokea malipo ya kadi au simu kwa kugusisha au kuingiza kadi kwa wateja.

Ni njia ya kupokea malipo kutoka kwa wateja wanaotumia simu za mkononi, ambapo wataweza kuscan.

Njia ya kupokea malipo kutoka kwa wateja wanaotumia simu za mkononi, kulipa kwa kuingiza Lipa Namba katika App au menyu za USSD katika simu.

Ni huduma inayoiwezesha biashara ambayo inauza bidhaa au huduma mtandaoni kupitia tovuti au app kupokea malipo kwa watumiaji wenye kadi za benki

Ndio, kadi za Visa, UPI na MasterCard kutoka Benki zote zinaweza kulipa katika huduma zetu

Hapana, hakuna makato yoyote wakati wa kulipa na kadi.

Ndio, kupitia Lipa Namba, hii inamuwezesha mteja kulipa kwa kutumia mitandao ya simu au benki nyingine.

Muombe mteja ajaribu tena muamala, kwakuwa muamala wa awali utarudishwa ndani ya muda mchache.

Unaweza kutembelea tawi la CRDB lililokaribu nawe au kubonyeza link hii https://online.crdbbank.co.tz/apply/merchant/form

Unaweza kupendezwa na