Huduma za Kifedha
Maelezo
Tunajivunia kuwa waanzilishi wa Huduma za kifedha nchini Tanzania hasa katika shughuli za Soko la Mitaji. Uzoefu wetu katika masoko ya mitaji ni kuanzisha usimamizi wa IPO, usajili wa bondi, dhamana za Serikali, wakala wa udalali, wakala wa mauzo na usimamizi wa dhamana ili kulinda uwekezaji wako wa kifedha.
Tunatoa huduma hizi kwa wawekezaji wa ndani na nej ya nchi ikiwa ni pamoja na wateja wa reja reja na makampuni, mifuko ya pensheni, wasimamizi wa mifuko, makampuni ya bima na taasisi nyingine zote za fedha.
Tunajivunia kuwa waanzilishi wa Huduma za kifedha nchini Tanzania hasa katika shughuli za Soko la Mitaji. Uzoefu wetu katika masoko ya mitaji ni kuanzisha usimamizi wa IPO, usajili wa bondi, dhamana za Serikali, wakala wa udalali, wakala wa mauzo na usimamizi wa dhamana ili kulinda uwekezaji wako wa kifedha.
Tunatoa huduma hizi kwa wawekezaji wa ndani na nej ya nchi ikiwa ni pamoja na wateja wa reja reja na makampuni, mifuko ya pensheni, wasimamizi wa mifuko, makampuni ya bima na taasisi nyingine zote za fedha.
Custodial Services
- Custodial service we provide safe keeping of investors financial assets minimizing all risks that may occur resulting to loss; Through this our customers can invest across the east Africa region accessing all available opportunities in the Market at a safe hand.
Registrar-ship Services
- We offer Registrar-ship services for clients who mobilize capital through the sale of corporate bonds or shares to the public. To perform this role smoothly, we have deployed state-of-the-art software that facilitates the running of these services efficiently and cost-effectively.
Government Securities
- CRDB Bank was granted a license by the Bank of Tanzania (BOT) to buy and sell government securities for our own and customer accounts. Both in primary and secondary market, encouraging augmented liquidity in the market. We, therefore, invite our customers to utilize this opportunity with the bank in order to trade or invest in government securities by using our vast network of branches.
Securities Brokerage Agency
- We also enable our clients to trade in shares listed at the Dar es Salaam Stock Exchange directly through CRDB Bank at no extra cost other than authorized commission by the exchange thus enjoying several benefits notably, prompt trade settlements and added security of their holdings.
Sales Agent
Customers can buy and sell units of Open-ended Schemes managed by UTT Assets and Management Services, this includes Umoja, Jikimu, Wekeza, Watoto, Liquid and Bond funds through our entire branch network.
- Timely Settlement
- Reasonably Fees
- Client service structure
- Long term experience in Capital Market Operations
- Reputation within the industry and public perception
- Understanding of the Local environment and regulations.
- Direct connections with depositories
- Financial stability and scope of services provided. (All services required by investors are available through CRDB)
- Long-term relationship with all Pension funds.
- Competitive Foreign Exchange
- Excess liquidity
- Clear Custody Agreements and SLA with our Clients
- Reliable and Efficient Information Systems C2K
Requirements For Account opening
- Open a CDS Account by filling in the forms in the link( DSE Forms)
- Attach the copy of the ID ( Travelling Passport/Driving license/workers or student ID and Voters/National ID
- Do the Payment through Brokers' Account and submit the forms to the Branch.
For further information, contact us or call +255 737 269090
Unaweza kupendezwa na
Fedha za kigeni
Okoa pesa kwa kupata viwango bora vya ubadilishaji wa fedha za kigeni kila siku kutoka kwetu.