Akaunti ya Dhahabu
Maelezo
Aina ya akaunti ya kuwekeza inayompa mteja nafasi ya kuwekeza kwa kudunduliza kila mara mpaka mda wa kuwekeza utakapofika mwisho.
Aina ya akaunti ya kuwekeza inayompa mteja nafasi ya kuwekeza kwa kudunduliza kila mara mpaka mda wa kuwekeza utakapofika mwisho.
- Sarafu ya uendeshaji ni TZS pekee
- Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni TZS 100,000
- Mteja anaweza kuwa akiba kwenye akaunti kwanzia mkataba wa miezi 12 mpaka miezi 240
- Kiwango cha chini kinacholipiwa riba ni TZS 500,000
- Akaunti inaweza kufunguliwa na kuendeshwa na mtu mmoja au kwa pamoja
- Kutoa pesa ni baada ya muda wa faida kukamilika
- Riba hukusanywa kila mwezi na hutolewa mara mbili kwa mwaka
- Hakuna kadi itakayotolewa
- Uwezo na uhuru wa kuchagua mpango wa akiba (kiasi na muda)
- Uwezo wa kuokoa na kutimiza mipango ya kifedha ya muda mrefu
- Kiwango cha riba shindani
- Hakuna ada za kila mwezi au kutoa pesa
- Usajili wa mkopo wa dharura hadi 80% ya salio la akaunti baada ya miezi sita
- Punguzo la malipo ya bima, ikiwemo Bima ya Maisha, zinazotolewa na Benki ya CRDB
- Akaunti inaweza kuongezwa pesa muda wowote na inaendelea kuzungushwa
- Mteja lazima awe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Kitambulisho halali
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya Muda Maalum
Akaunti hii ya Muda Maalum inakupa fursa ya kuwekeza kiasi fulani ulichopanga cha fedha kwa wakati uliopanga.
Akaunti ya Busara
Akaunti ya Akiba iliyobuniwa kwa ajili ya wanahisa kutoka kwenye Kampuni zilizojiunga na Soko la Hisa.
Akaunti ya Thamani
Hii ni akaunti ya amana ya kudumu yenye kipindi kirefu cha marejesho ambapo mteja huwekeza fedha kwa kipindi cha miezi 36
Akaunti ya Sadaka
Akaunti iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya taasisi za kidini