Wewe ni mfanya biashara?
Pokea malipo kutoka mtandao yote na mabenki yote
Pata TemboCard bila haja ya kuwa Akaunti ya CRDB.
Weka pesa kupitia mtandao ya simu. Fanya manunuzi popote kadi inapokubalika.
Lipa Namba inakubalika kupitia...
mitandao ya simu yote
benki zote

Anza Kupokea Malipo Salama na Rahisi kwa CRDB Lipa Hapa
CRDB Lipa Hapa ni suluhisho salama na la uhakika la malipo kwa biashara yako kupitia Lipa Namba. Huduma hii inafaa kwa biashara zote, kubwa na ndogo, ikiwa ni pamoja na maduka, migahawa, hoteli, hospitali,na maeneo mengine yanayouza bidhaa au huduma.
Faida za kuwa na Lipa Namba ya CRDB Bank
Malipo ya Papo Hapo
Fedha huingia moja kwa moja kwenye akaunti yako kwa muda mfupi.
QR Code Maalum
Tengeneza na utumie QR Code kwa miamala maalum.
Urahisi wa Malipo
Wateja wanaweza kulipa kwa kuscan QR Code kwenye SimBanking App au kwa kutumia Lipa Namba kwa kupiga *150*03#.
Inaimarisha Usalama
Itakupunguzia uwezakano wa kuibiwa au kupoteza fedha zako.
Gharama Nafuu
Hakuna vifaa vya ziada vinavyohitajika; QR Code rahisi inatosha
Mahitaji ya kua na Lipa Namba
Biashara halali inayouza bidhaa au huduma.
Simu ya Mkononi au Kompyuta ya kuonyesha QR Code kwa malipo.
Akaunti ya CRDB inayounganishwa na mfumo wa malipo wa QR.
Wateja wanaweza kulipa kwa kuscan QR Code kwenye SimBanking App au kwa kutumia Lipa Namba kwa kupiga *150*03#. Pia kutoka katika Mitandao mingine.
Tuma Maombi
