TemboCard
Maelezo
Furahia uwezekano bila kikomo na kadi ya TemboCard. Kadi hii inakupa ufikiaji wa haraka na salama kwenye akaunti yako ya benki kutoka mahali popote na wakati wowote. TemboCard ni mfano unaokubalika ulimwenguni wa kulipa kwa elektroniki, kupitia duka lolote la mfanyabiashara inayohusiana na VISA, Mastercard au China Union Pay (UPI) au ATM yoyote ulimwenguni.
Kwa nini TemboCard Visa?
- Fikia akaunti yako kwa zaidi ya ATM 1,840,000 duniani kote na zaidi ya 1,500 nchini Tanzania ambapo Kadi za Visa, Mastercard au China Union Pay (UPI) zinakubaliwa
- Tumia kadi kwenye ATM, POS, na mtandaoni
- Fuatilia matumizi yako na usimamie bajeti yako kwa urahisi kwenye kila shughuli kutoka kwa taarifa yako ya benki.
Manufaa ya kuwa na TemboCard ni kama yafuatayo
- Furahia uwezo wa TemboCard kulipa popote, chochote na wakati wowote mtandaoni;
Nunua kutoka kwa wavuti yoyote na App ikiwa ni pamoja na Amazon, BestBuy, eBay, na AliExpress.
Jisajili kwenye vituo vya sinema pamoja na kulipia subscriptions za Netflix, Amazon Prime, na HBO
Nunua huduma yoyote ya App unayotaka kutoka Google Playstore na App Store.
Tiketi za kusafiri kwa ndege moja kwa moja kutoka Mashirika ya ndege yakiwemo Air Tanzania, Precision Air, KLM Royal Dutch Airlines, Turkish Airlines na Qatar Airways.
Lipia hoteli ulimwenguni kwenye Booking.com, Hotels.com, Expedia na AirBnB
Unganisha Tembocard yako na Paypal ili kufanya malipo kwa usalama zaidi na uangalie kwa urahisi.
- Chanja kadi yako ya TemboCard kwenye POS yoyote
- Changanua QR kulipa kupitia Simbanking App
Ikiwa huna akaunti nasi na unahitaji kupata TemboCard, utahitajika kufungua akaunti kwanza. Matumizi tofauti ya kadi yatakua na tozo tofauti za miamala
TemboCard Visa Infinite
TemboCard Visa Infinite ni kadi maalumu kwa ajili ya wateja wanaofanya miamala yenye viwango vikubwa mara kwa mara.
TemboCard Visa Gold
TemboCard Visa Gold is an international debit card issued in partnership with Visa International and directly linked to your domicile account.
TemboCard Platnum Visa
TemboCard Platinum gives you the international benefits that takes you to a platinum side of life everywhere you go.
TemboCard Visa (Classic)
Enjoy unlimited possibilities and convenience with TemboCard Visa. This card provides instant and safe access to your bank account from any place and at any time. Secured by VISA Electron, TemboCard Visa is a globally accepted mode of paying electronicall
Albarakah TemboCard Visa Infinite
Al barakah TemboCard Visa Infinite is an exclusive card for elite customers that offer the highest spending power, convenience, personal privileges, and unparalleled services.
Albarakah TemboCard Platinum Visa
Albarakah TemboCard Platinum gives you the international benefits that takes you to a platinum side of life everywhere you go.
Albarakah TemboCard Visa Gold

Prepaid Cards
No Bank Account Needed — Load funds and start spending.
Gold Credit Card
Enjoy higher limits, premium rewards, and exclusive privileges with the Gold credit card
Infinite Credit Card
Unlock limitless privileges, unmatched luxury, and global recognition with the Infinite Credit Card.
Tembo UPI Virtual Card
Instant Access, Enhanced Security & Flexibility
Metal Debit Card
Premium Metal Design — Sleek, durable, and exclusive.
Yanga Visa Card
Enjoy your Yanga Card that unlocks exclusive benefits
Simba Fan Classic
Enjoy your Simba Card that unlocks exclusive benefits
Simba Cub
Small card, big dreams - Simba Cub Card unlocks your journey
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti
TemboCard Visa Infinite
TemboCard Visa Gold
TemboCard Platnum Visa
TemboCard Visa (Classic)
Albarakah TemboCard Visa Infinite
Albarakah TemboCard Platinum Visa
Albarakah TemboCard Visa Gold
Prepaid Cards
Gold Credit Card
Infinite Credit Card
Tembo UPI Virtual Card
Metal Debit Card
Yanga Visa Card
Simba Fan Classic
Simba Cub
Sarafu (TZS, GBP, USD, EUR)
Kiwango cha chini cha Uendeshaji
Hupata Riba kwa Amana
Ada ya uendeshaji ya kila mwezi
Uendeshaji wa Akaunti ya Pamoja
Bima ya KAVA bure
Ina Huduma ya SimBanking na Internet Banking
TemboCard VISA/MasterCard
Kiasi cha Mkopo
Muda wa Mkopo
Kuongeza mkopo
Kubadilisha Mmiliki
Dhamana

Akaunti | TemboCard Visa Infinite | TemboCard Visa Gold | TemboCard Platnum Visa | TemboCard Visa (Classic) | Albarakah TemboCard Visa Infinite | Albarakah TemboCard Platinum Visa | Albarakah TemboCard Visa Gold | Prepaid Cards | Gold Credit Card | Infinite Credit Card | Tembo UPI Virtual Card | Metal Debit Card | Yanga Visa Card | Simba Fan Classic | Simba Cub |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sarafu (TZS, GBP, USD, EUR) | |||||||||||||||
Kiwango cha chini cha Uendeshaji | |||||||||||||||
Hupata Riba kwa Amana | |||||||||||||||
Ada ya uendeshaji ya kila mwezi | |||||||||||||||
Uendeshaji wa Akaunti ya Pamoja | |||||||||||||||
Bima ya KAVA bure | |||||||||||||||
Ina Huduma ya SimBanking na Internet Banking | |||||||||||||||
TemboCard VISA/MasterCard | |||||||||||||||
Kiasi cha Mkopo | |||||||||||||||
Muda wa Mkopo | |||||||||||||||
Kuongeza mkopo | |||||||||||||||
Kubadilisha Mmiliki | |||||||||||||||
Dhamana | |||||||||||||||
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Benki Mtandaoni
Benki mtandaoni inakusaidia kufikia akaunti yako ya kibinafsi au ya biashara saa 24 popote ulipo.
SimBanking
Fanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote.
CRDB Wakala
Kupitia mawakala wetu mtaani unaweza kufungua akaunti, kufanya miamala na mengine mengi
Tembo Points
ATM ya kuweka fedha
Badilisha hali yako ya utumiaji wa benki ukitumia Mashine za Kuweka Fedha za CRDB—zinazotoa huduma masaa 24/7
Forex ATM
Furahia ubadilisha fedha bila shida na ATM za CRDB za kubadirisha fedha.