Akaunti ya Sadaka
Maelezo
Akaunti iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya taasisi za kidini ili kuhakikisha kwamba taasisi hizizinapata huduma bora na mahitaji yao yanatimizwa.
Akaunti iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya taasisi za kidini ili kuhakikisha kwamba taasisi hizizinapata huduma bora na mahitaji yao yanatimizwa.
- Inapatikana kwa taasisi za kidini zilizosajiliwa pekee.
- Inaendeshwa kwa sarafu mbili: TZS | USD.
- Hakuna kiwango cha chini cha kufungua akaunti.
- Hakuna kiwango cha chini cha kuendesha akaunti.
- Inaweza kuendeshwa kama akaunti ya akiba au ya kibiashara.
- Hakuna ada za kila mwezi au ada za ledger.
- Kiasi kinacholipiwa riba - TZS 10,000,000.
- Hakuna kadi.
- Usajili wa Internet Banking BURE.
- Uhakiki wa salio kupitia matawi yetu BURE.
- Hakuna ada za matengenezo ya kila mwezi.
- Hakuna kiwango cha chini cha kuendesha akaunti.
- Kutoa pesa kupitia kaunta BURE.
- Hakuna ada ya kutoa pesa kwa ajili ya uhakiki wa salio.
- Ni kwaajili ya tasisi za kidini zilizosajiliwa pekee
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya Muda Maalum
Akaunti hii ya Muda Maalum inakupa fursa ya kuwekeza kiasi fulani ulichopanga cha fedha kwa wakati uliopanga.
Akaunti ya Busara
Akaunti ya Akiba iliyobuniwa kwa ajili ya wanahisa kutoka kwenye Kampuni zilizojiunga na Soko la Hisa.
Akaunti ya Thamani
Hii ni akaunti ya amana ya kudumu yenye kipindi kirefu cha marejesho ambapo mteja huwekeza fedha kwa kipindi cha miezi 36
Akaunti ya Dhahabu
Huu ni mpango wa kuweka akiba wenye makubaliano maalumu kati ya benki na mteja.