Mkopo wa Salary Advance
Maelezo
Pale dharura zinapotokea
Unahitaji mkopo wa haraka na tarehe ya mshahara haijafika? Tuna suluhisho kwa ajili yako. Mkopo wetu wa Salary Advance ni chaguo nafuu la kupata mkopo wa papo hapo wa hadi 50% ya mshahara wako kupitia SimBanking.
Pale dharura zinapotokea
Unahitaji mkopo wa haraka na tarehe ya mshahara haijafika? Tuna suluhisho kwa ajili yako. Mkopo wetu wa Salary Advance ni chaguo nafuu la kupata mkopo wa papo hapo wa hadi 50% ya mshahara wako kupitia SimBanking.
Sababu 6 za kuchagua Mkopo wetu wa Salary Advance
- Mkopo wa haraka hadi TZS 1,000,000
- Kiwango cha chini cha riba cha 5%
- Muda wa ulipaji wa siku 30
- Hakuna ada ya uendeshaji
- Unapatikana wakati wowote kupitia SimBanking
Kwa nini uchague Mkopo wa Salary Advance kutoka Benki ya CRDB?
- Mkopo wa haraka hadi TZS 1,000,000
- Kiwango cha chini cha riba cha 5%
- Muda wa ulipaji wa siku 30.
- Hakuna ada ya uendeshaji
- Unapatikana wakati wowote kupitia SimBanking
Ili kufanya maombi, unahitaji…
- Kuwa mfanyakazi wa serikali / sekta binafsi unayepokea mshahara kupitia Benki ya CRDB
- Uwe umesajiliwa kwenye SimBanking
Jinsi ya kuomba mkopo wa Salary Advance
- Ingia kwenye Simbanking App
- Chagua Mikopo ya Haraka.
AU
Piga *150*03 # na uchague Salary Advance na uendelee na mchakato wa maombi.
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Mkopo wa Wafanyakazi
Pata mkopo wa Wafanyakazi hadi TZS Milioni 100 ndani ya masaa 24 na ‘Jiachie Utakavyo‘ na kiwango cha riba nafuu hadi 14% na muda wa marejesho hadi miaka 7.
Mkopo wa Jijenge
Mkopo wa muda mrefu unaotolewa kwa wateja na wateja watarajiwa wa benki ya CRDB kwa ajili ya Ujenzi, Kununua/Kukarabati nyumba za Kupanga.
Mkopo wa Boom Advance
Boom Advance ni mkopo wa muda mfupi unaokusudiwa kutoa suluhisho la kifedha la muda mfupi kwa wanafunzi kabla ya kupokea posho za HESLB.