Mkopo wa SME Bidii
Maelezo
Hii ni bidhaa iliyobuniwa kumuwezesha mfanyabiasha mdogo na mfanyabiashara wa kati kuweza kukidhi mahitaji yao ya mtaji wa uwekezaji. Mkopo huu unalenga kuchochea harakati za mfanyabiashara baada ya kuanza biashara.

Unaweza kupendezwa na
Mkopo wa Malkia
Pendekezo la CRDB Malkia ni kifurushi cha bidhaa na huduma zilizopo za benki zilizounganishwa pamoja na kulengwa katika kuimarisha ufikiaji wa wanawake wa huduma za kifedha na zisizo za kifedha.
MSE Loans
These are small ticket facilities issued to formal and informal micro and small enterprises with target to grow and expand small and sustainable business.
Mkopo wa Komboa
Komboa mizigo yako iliyokwama bandarini na uendelee na biashara yako kupitia Mkopo wa CRDB Bank Komboa.