CRDB Wakala
Maelezo
CRDB Wakala ni wakala wa Benki ya CRDB chini kitengo cha idara ya wateja wadogo. Tumekua mbele kiubunifu katika utoaji huduma za kifedha nchini kwakua Benki ya kwanza kuanzisha huduma ya uwakala nchini Tanzania mwaka 2013 iliyokua ikijulikana kama “Fahari Huduma Wakala”.
CRDB Wakala ni wakala wa kibenki waliopitishwa na kufundishwa utoaji huduma za kifedha kwa niaba ya Benki ya CRDB kulingana na kanuni na mwongozo wa Benki kuu ya Tanzania. Mtandao wa CRDB Wakala unawawezesha watanzania wote walio wateja na wasio wateja wa kibenki kupata huduma zetu za kifedha kiurahisi popote walipo.

Services that are available at CRDB Wakala
- Balance inquiries and generation of mini statement
- Cash deposit to any CRDB Bank account, free of charge.
- Cash withdrawal at any CRDB Wakala using our CRDB Bank cards and card-less options via SimBanking App or USSD by dialing *150*03#
- Bill payment services for both CRDB customers and non-customers including the purchase of LUKU, airtime, water bills, air tickets, payment of TV subscriptions, and many more.
- School fees payment
- Loan repayments, retirement, and social benefits
- Government payments via GePG and TRA tax payments by using Control Numbers
- Facilitate instant account opening
- Facilitate credit and debit cards application
CRDB Wakala network of agents enables unbanked, underbanked, and banked Tanzanians to access conveniently our Bank services and enjoy below benefits and beyond;
- Save Time – agents services are queue-less and hence very fast
- Save Cost – eliminates distances and makes it cheaper to access banking service
- Available as close as at your doorstep, with 20,000 agents we have reached each corner of Tanzania
- Extended banking service hours- CRDB Wakala operates ahead of branch closing hours and some available 24 Hours.
- As our agents are happy to share knowledge of banking services and products with customers
- Reduce cash risk for customers who wish to deposit before moving or traveling
Unaweza kupendezwa na
Benki Mtandaoni
Benki mtandaoni inakusaidia kufikia akaunti yako ya kibinafsi au ya biashara saa 24 popote ulipo.
SimBanking
Fanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote.
TemboCard
Lipa kwa kutumia TemboCard, ni rahisi sana
Tembo Points
ATM ya kuweka fedha
Badilisha hali yako ya utumiaji wa benki ukitumia Mashine za Kuweka Fedha za CRDB—zinazotoa huduma masaa 24/7
Forex ATM
Furahia ubadilisha fedha bila shida na ATM za CRDB za kubadirisha fedha.