Akaunti ya Akiba
Maelezo
Weka akiba kwa ajili ya kesho yako.
Akaunti hii ya akiba inakupa fursa ya kukuza amana akiba yako kupitia mazoea yako ya kuweka akiba. Utafikia akaunti yako kupitia njia tofauti n hivyo kujihudumia masaa 24, siku 7 za wiki.
Ukiwa na akaunti ya akiba katika benki ya CRDB, unaweza kuweka akiba itakayokusaidia mahitaji yako ya sasa au baadaye huku ukifurahia huduma zetu za kibenki kwa gharama nafuu.
Weka akiba kwa ajili ya kesho yako.
Akaunti hii ya akiba inakupa fursa ya kukuza amana akiba yako kupitia mazoea yako ya kuweka akiba. Utafikia akaunti yako kupitia njia tofauti n hivyo kujihudumia masaa 24, siku 7 za wiki.
Ukiwa na akaunti ya akiba katika benki ya CRDB, unaweza kuweka akiba itakayokusaidia mahitaji yako ya sasa au baadaye huku ukifurahia huduma zetu za kibenki kwa gharama nafuu.
Sifa 6 bora za Akaunti yetu ya Akiba
Akaunti inaweza kufunguliwa na kuendeshwa kwa TZS/USD/EURO/GBP
Kiasi cha malipo ya awali ni TZS 20,000 au USD/EURO/GBP 100
Unapata riba kila ukiweka akiba
Unapata TemboCard Visa au MasterCard, SimBanking na Internet Banking
Akaunti ina gharama nafuu za uendeshaji
Akaunti inaweza kuendeshwa na watu wawili au Zaidi
Sababu 5 za kufungua Akaunti ya Akiba
Uhakika na usalama wa usalama wa akiba yako
Uwezo wa kupata huduma wakati wote kupitia ATMs, SimBanking, CRDB Wakala na huduma nyingine za kibenki kupitia mtandao.
Unapata riba kulingana na akiba iliyopo
Unapata Huduma ya KAVA Assurance Bure (Mteja binafsi na/au mwenza wake): Bima ya Maisha kiasi cha TSH Milioni 2 au ulemavu wa kudumu (kwa mwenye akaunti) kiasi cha TSH Milioni 2
Utapewa TemboCard Visa au MasterCard au Union kufanya miamala kwenye ATM kokote duniani na kufanya ununuzi kwenye vituo vya mauzo, kuchanganua misimbo ya QR au kufanya ununuzi mtandaoni.
Kufungua akaunti:
Uwe na umri wa miaka 18 na kuendelea
Uwe na picha 2 za pasipoti (Kwa mteja asiye na kitambulisho/Nambari ya NIDA)
Uwe na kitambulisho halali (Kitambulisho/Nambari ya NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Pasipoti, Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha Zanzibar)
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Malkia
Akaunti ya Malkia ni akaunti ya wanawake iliyo na lengo la kufanikisha mipango yako ya kuweka akiba kwa ajili yako.
Akaunti ya Junior Jumbo
Akaunti hii ni mahsusi kwa wazazi au walezi kuweza kuwawekea akiba watoto wao.
Akaunti ya Scholar
Akaunti ya akiba iliyoundwa kwa wanafunzi kuwawezesha kuendesha mahitaji yao ya kifedha na kujikimu wakiwa chuo kikuu au shuleni.
Akaunti ya Salary
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Fahari Kilimo
Akaunti iliyoundwa kwajili ya wakulima kuwawezesha kuokoa na pia kusaidia katika shughuli za kila siku kwenye kilimo.
Fahari Kilimo Current Account
An account designed for cooperatives, farmer's association and farmer's groups