Wekeza
Akaunti ya Muda Maalum
Akaunti hii ya Muda Maalum inakupa fursa ya kuwekeza kiasi fulani ulichopanga cha fedha kwa wakati uliopanga. Mteja atapata riba nzuri kwa fedha alizowekeza.
Akaunti ya 'Call'
Hii ni akaunti ya uwekezaji wa muda mfupi kwa wateja wanaotafuta kupata riba kwa amana kubwa.
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti | Akaunti ya Muda Maalum | Akaunti ya 'Call' |
---|---|---|
Soma Zaidi | Soma Zaidi |
Unaweza kupendezwa na
Kopa
Soma ZaidiHuduma za Hazina
Soma ZaidiHuduma kwa Wateja Wakubwa
Kitengo chetu kinachohudumia wateja wakubwa (makampuni binafsi/umma). Kinatoa suluhisho la matatizo ya kifedha, ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo mikubwa na midogo, kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya ujenzi, huduma za mashirika, mikopo ya biashara na miradi ya kilimo.
Soma Zaidi