Akaunti ya Thamani
Maelezo
Wekeza kwa kipindi kirefu cha marejesho.
Akaunti hii inakupa nafasi ya kuwekeza kwa Muda Maalum. Kipindi kilichoainishwa ni miezi 36 na mteja anapokea riba kwenye akaunti yake kila mwezi.
Wekeza kwa kipindi kirefu cha marejesho.
Akaunti hii inakupa nafasi ya kuwekeza kwa Muda Maalum. Kipindi kilichoainishwa ni miezi 36 na mteja anapokea riba kwenye akaunti yake kila mwezi.
Sifa 7 za Akaunti yetu ya Thamani
- Inafunguliwa na kuendeshwa kwa TZS tu
- Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti ni TZS 1 Mil
- Muda wa kuwekeza ni miezi 36
- Riba inalipwa kila mwezi
- Unakabidhiwa risiti ya amana yako ya muda maalum.
- Endapo Mteja atavunja mkataba wake kabla ya kufika kikomo atapoteza 50% ya riba yake.
- Akaunti inaweza kufunguliwa na mtu mmoja, biashara au taasisi.
Sababu 7 za kufungua na Akaunti ya Thamani
- Haina gharama ya uendeshaji
- Pata riba yenye kiwango shindani
- Ni uwekezaji ulio salama (Una uhakika wa kupata marejesho)
- Unapokea Riba yako kila mwezi
- Uwezo wa kupata mkopo hadi 90% ya amana ya muda maalum
- Inaruhusu mteja kuomba mkataba wake wa amana ya Muda Maalum kuendelea pale ambapo umefika kikomo na utaendelea kwa kutumia kiwango cha riba cha wakati huo.
- Huduma hii inampa nafasi ya kupata faida zaidi.
Kufungua akaunti, lazima uwe
- Mteja mwenye umri kuanzia miaka 18
- Na kitambulisho halali (NIDA, Kitambulisho cha Zanzibar, Kitambulisho cha kupigia Kura, Pasipoti ya kusafiria au leseni ya udereva)
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya Muda Maalum
Akaunti hii ya Muda Maalum inakupa fursa ya kuwekeza kiasi fulani ulichopanga cha fedha kwa wakati uliopanga.
Akaunti ya Busara
Akaunti ya Akiba iliyobuniwa kwa ajili ya wanahisa kutoka kwenye Kampuni zilizojiunga na Soko la Hisa.
Akaunti ya Dhahabu
Huu ni mpango wa kuweka akiba wenye makubaliano maalumu kati ya benki na mteja.
Akaunti ya Sadaka
Akaunti iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya taasisi za kidini