Usalama wa nyumbani

Maelezo

Bima hii inakuhakikishia usalama wa mali kutokana na upotevu au hasara ndani ya nyumba ya mteja, (ikijumuishwa na mali zilizomo ndani) kutokana na majanga ya moto,wizi,radi, kimbunga,tetemeko la ardhi,mafuriko,uharibifu unaotokana na maji na majanga mengineyo.

  • Also covers liability at Lay for your Workmen.
  • Liability to third parties

Unaweza kupendezwa na