Huduma ya Remittance
Maelezo
Remittance ni huduma ya kutuma pesa kati ya mtu mmoja na mwingine kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine.
Benki ya CRDB ilizindua huduma za remittance kwa kushirikiana na washirika mbalimbali ikiwa na lengo la kurahisisha malipo kwa jamii za watu waishio nje ya nchi ili waweza kutuma pesa nyumbani.
Mpaka kufikia sasa, benki ya CRDB imetanua wigo wa washirika wake kufikia wanne ambao wanapatikana duniani kote ambao ni Western Union, RIA Money Transfers, UPESI Money Transfers na NALA kuwawezesha wateja kutuma na kupokea pesa wakiwa nchi zaidi ya 250 duniani kote.

What services are available through these partners?
- Direct Bank deposit to CRDB Bank account
- Cash pick up over the counter at any CRDB Bank branch.
- Direct deposit to other Bank accounts
- Direct to Mobile money Wallets
- Send Money abroad
Why should use CRDB bank remittance service?
- Real time processing (Speed), account credited in real time.
- Simplicity, use the partner APP to send money.
- Secured end to end transactions processing.
- No charges on recipient side.
- Cash out to the network of over 260 branches across Tanzania.
- You can send and receive in more than 250 countries.
What is KYC required to receive money from abroad?
- Approved and acceptable ID. (National ID- NIDA, Voters ID, Drivers License or Travelers Passport.
What should I have to send money abroad?
- Your approved and acceptable ID.
- Visit nearest CRDB Bank Branch.
- Correct information of recipient (Name, Country, city)
- Cash to send.
Is there any limit applicable?
- Yes, the limit is equivalent to USD 7,500 per transaction.
- There is no limit on receiving (inbound).