Akaunti ya Scholar
Maelezo
Kwa mwanafunzi mwerevu
Akaunti ya akiba maalum kwa wanafunzi ili kuwamwezesha kuweka akiba ya fedha ya kujikimu matumizi ya kila siku wakiwa chuo. Ni akaunti maalum kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Kwa mwanafunzi mwerevu
Akaunti ya akiba maalum kwa wanafunzi ili kuwamwezesha kuweka akiba ya fedha ya kujikimu matumizi ya kila siku wakiwa chuo. Ni akaunti maalum kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Sifa 5 za Akaunti yetu ya Scholar
Inafunguliwa na kuendeshwa kwa TZS pekee
Unapata TemboCard Visa au MasterCard, SimBanking, na Internet Banking
Hakuna gharama ya kufungua akaunti
Hakuna makato ya mwezi ya uendeshaji wa akaunti
Gharama nafuu za miamala
Ni maalum kwa mtumiaji mmoja
Sababu 6 za kufungua Scholar Account
Urahisi wa kujiwekea akiba ukiwa mwanafunzi
Unaweza kupata huduma ya Boom Advance (mkopo wa muda mfupi)
Unaweza kulipa posho ya kujikimu
Urahisi wa kupata huduma za kibenki kupitia SimBanking, mtandao na CRDB Wakala
Unaunganishwa na mfumo wa alama za vidole wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Uwezo wa kufanya manunuzi ya nguo, vitabu n.k mtandaoni.
Kufungua akaunti:
Uwe mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi
Uwe na kitambulisho cha chuo au shule
Kitambulisho halali kimoja (Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha mpiga kura, Leseni ya Dereva, Kitambulisho za Mzanzibari Mkaazi au Pasipoti)
Picha 2 aina ya Pasipoti
Barua ya kujiunga na chuo au utambulisho kutoka chuo
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Malkia
Akaunti ya Malkia ni akaunti ya wanawake iliyo na lengo la kufanikisha mipango yako ya kuweka akiba kwa ajili yako.
Akaunti ya Akiba
Ukiwa na akaunti ya akiba, utaweza kuweka akiba itakayokusaidia kwa ajili ya mahitaji yako ya baadae
Akaunti ya Junior Jumbo
Akaunti hii ni mahsusi kwa wazazi au walezi kuweza kuwawekea akiba watoto wao.
Akaunti ya Salary
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Fahari Kilimo
Akaunti iliyoundwa kwajili ya wakulima kuwawezesha kuokoa na pia kusaidia katika shughuli za kila siku kwenye kilimo.
Fahari Kilimo Current Account
An account designed for cooperatives, farmer's association and farmer's groups