Bima
Dhamana Na Uaminifu
Aina hii ya Bima inasimamia upotevu wa Fedha,Mali iliyokatiwa Bima kutokana na kutokuwepo kwa uaminifu kutoka kwa waajiri wakati wafanyakazi wakiwa kazini.
Bima Ya Usafirishaji Bidhaa
Bima hii inalipa fidia ya mali iliyopotea wakati wa usafirishaji kwa njia ya barabara au reli.
Bima Ya Usafiri Wa Baharini
Bima hii hukatwa kwa ajili ya kulipia hasara inayoweza kupatikana kwa ajili ya mali zinazosafirishwa kwa njia ya baharini.
Bima ya Fedha
Bima hii hulipia gharama za hasara ya kifedha
Bima Ya Moto
Bima hii inalipia hasara iliyopatikana kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali za Moto, Radi au Milipuko (inayosabishwa na gesi ya matumizi ya nyumbani).
Bima ya Magari
Tunatoa huduma bora, yenye thamani ya fedha yako ili kulilinda na hasara itakayosababisha uharibifu wa gari lako likipata Ajali, Wizi au Moto
Bima ya Majanga Yote
Bima hii inahusisha mali iliyokatiwa bima eneo lolote kwa mujibu wa taarifa iliyopo katika maelezo ya bima ya awali.
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti | Dhamana Na Uaminifu | Bima Ya Usafirishaji Bidhaa | Bima Ya Usafiri Wa Baharini | Bima ya Fedha | Bima Ya Moto | Bima ya Magari | Bima ya Majanga Yote |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi |
Unaweza kupendezwa na
Kopa
Soma ZaidiWekeza
Soma ZaidiHuduma za Hazina
Soma ZaidiHuduma kwa Wateja Wakubwa
Kitengo chetu kinachohudumia wateja wakubwa (makampuni binafsi/umma). Kinatoa suluhisho la matatizo ya kifedha, ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo mikubwa na midogo, kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya ujenzi, huduma za mashirika, mikopo ya biashara na miradi ya kilimo.
Soma Zaidi