Akaunti ya Junior Jumbo
Maelezo
Linda mustakabali wa mtoto wako.
Akaunti hii ni mahususi kwa ajili ya wazazi au walezi wanaotaka kuwawekea watoto wao akiba iwe kwa ajili karo ya shule, matibabu n.k.
Linda mustakabali wa mtoto wako.
Akaunti hii ni mahususi kwa ajili ya wazazi au walezi wanaotaka kuwawekea watoto wao akiba iwe kwa ajili karo ya shule, matibabu n.k.
Sifa 5 bora za Akaunti yetu ya Junior Jumbo
Uhuru wa kuchagua fedha utakayotumia kuwekea akiba (TZS, USD, EUR, GBP)
Salio la Awali la Ufunguzi - TZS 20,000 au USD, EUR, GBP 20
Hakuna Ada za Kila Mwezi
Utapata riba kwa kiasi kilichopo
Akaunti ni moja pekee inaruhusiwa kwa kila mtoto na mtumiaji ni mmoja
Sababu 5 za kufungua Akaunti ya Junior Jumbo
Inakujengea tabia ya kuweka akiba kwa ajili ya mahitaji ya mtoto/watoto wako
Unaweza kuweka agizo maalum kwenda akaunti hiyo
Hakuna ada za kila mwezi
Utapata riba kiasi kilichopo
Unaweza kupewa TemboCard Visa au MasterCard ambayo haijaunganishwa na akaunti
Kufungua akaunti:
Watoto lazima wawe na umri chini ya miaka 18
Cheti cha kuzaliwa cha mtoto
Picha mbili za pasipoti; mmoja ya mtoto na mmoja ya mzazi/mlezi
Kitambulisho halali cha Mzazi/Mlezi (Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Pasipoti, Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha Zanzibar)
Maswali
Unaweza kupendezwa na
Akaunti ya hundi
Akaunti ya hundi ya benki ya CRDB ni akaunti inayotumia njia rahisi mbalimbali za miamala kwa ajili ya kutimiza malengo yako ya kibenki
Akaunti ya Malkia
Akaunti ya Malkia ni akaunti ya wanawake iliyo na lengo la kufanikisha mipango yako ya kuweka akiba kwa ajili yako.
Akaunti ya Akiba
Ukiwa na akaunti ya akiba, utaweza kuweka akiba itakayokusaidia kwa ajili ya mahitaji yako ya baadae
Akaunti ya Scholar
Akaunti ya akiba iliyoundwa kwa wanafunzi kuwawezesha kuendesha mahitaji yao ya kifedha na kujikimu wakiwa chuo kikuu au shuleni.
Akaunti ya Salary
Hii ni Akaunti ya akiba inayowezesha malipo yako ya mshahara kutoka kwa mwajiri wako ambaye ni kampuni au taasisi na ni mteja wa CRDB Bank.
Akaunti ya Teen
Akaunti maalum inayofunguliwa na kuendeshwa na mzazi/mlezi kwa ajili ya kijana wake mwenye umri kuanzia miaka 13 hadi 17
Niamoja
Akaunti maalum kwa ajili ya vikundi inayorahisisha ukusanyaji na usimamizi wa michango ya kikundi. Pia kikundi kinakuwa na uhakika juu ya usalama wa michango ya kikundi. Vikundi vya Nia Moja ni kama; • VICOBA, Vikundi vya kifamilia, vikundi vya kwenye mit
Akaunti ya Pensheni
Akaunti hii ya akiba ni maalum kwa ajili ya wastaafu inakuwezesha kupokea malipo ya pensheni ya mkupuo na ya kila mwezi na mapato mengine pia
Akaunti ya Simba
Fungua akaunti maalum ya Simba ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Yanga
Fungua akaunti maalum ya Yanga ambayo itakuwezesha kuweka akiba, kufanya malipo mbalimbali yakiwemo ya ushabiki na huduma nyingine za kibenki.
Akaunti ya Fahari Kilimo
Akaunti iliyoundwa kwajili ya wakulima kuwawezesha kuokoa na pia kusaidia katika shughuli za kila siku kwenye kilimo.
Fahari Kilimo Current Account
An account designed for cooperatives, farmer's association and farmer's groups