Bima
Bima ya Chombo cha Moto
Bima maalum ili kulilinda chombo chako cha moto dhidi ya wizi au hasara itakayosababisha uharibifu
Bima ya Mikopo
Hutoa bima kwa mkopeshaji dhidi ya hasara ya kifedha ambayo anaweza pata kufuatia kifo au ulemavu wa kudumu wa mkopaji.
Bima Binafsi Ya Ajali
Ukiwa kazini au unacheza,upo uwezekano mkubwa wa kupata ajali na kukusababishia madhara mwilini.
Usalama wa nyumbani
Usalama wa mali kutokana na upotevu au hasara ndani ya nyumba ya mteja
Bima ya Moto
Bima hii inalipia hasara iliyopatikana kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali za Moto, Radi au Milipuko
Bima ya Maisha ya Kikundi
Linda familia yako kutoka hatari zisizo na mpango na Bima ya Maisha ya Kikundi ya Benki ya CRDB
Medical Insurance
For in-patient, out- patient and referral
Chagua Akaunti 3 kulinganisha
Akaunti | Bima ya Chombo cha Moto | Bima ya Mikopo | Bima Binafsi Ya Ajali | Usalama wa nyumbani | Bima ya Moto | Bima ya Maisha ya Kikundi | Medical Insurance |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi |