Tamasha ya Kizimkazi 2021
Sehemu: Pemba Island
- 0
DAYS - 0
HRS - 0
MINS - 0
SEC
Tarehe: September 11, 2021 12:00
Bure
Benki ya CRDB jana ilisisitiza dhamira yake ya kulifanya tamasha la Kizimkazi kuwa jukwaa kubwa na endelevu litakalotangaza vivutio vya utalii vya Zanzibar na juhudi za uhifadhi wa mazingira.