Mafanikio ya CRDB na biashara mbali mbali Tanzania
By: Niels Malangalila | Blog | October 5, 2021 09:00
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki yetu akiongea kuhusu mafanikio tuliyoyapata mwaka 2020, amesema "Katika kipindi cha mwaka 2020, tulipata mafanikio makubwa, tukitumia vizuri fursa zinazojitokeza sokoni. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa pamoja na changamoto zilizokuwepo, mikakati tuliyoiweka ilisaidia kuendana na mabadiliko, na hivyo kusaidia kuimarisha utendaji wetu kwa haraka. La muhimu zaidi, nawashukuru kwa moyo wote wateja wetu kwa kutupa nafasi ya kipekee ya kuwahudumia. Nitoe shukrani nyingi kwa wanahisa wetu, kwa kutuamini na uwekezaji wenu na kwa kutupa nafasi ya kuwafanyia kazi"
PamojaHatuaKwaHatua
What's new?

BLOG
Wateja wapongeza Mageuzi ya Mfumo Benki ya CRDB ikisherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja
...
Read More
BLOG
CRDB Bank Formalizes Strategic Partnership with Japan's Sumitomo Mitsui Banking Corporation
Yokohama, Japan – August 21, 2025 – We at CRDB Bank PLC are excited to announce a historic milestone...
Read More
BLOG
Fahad Soud Hilal wa Tanga Anyakua Toyota IST Kupitia Kampeni ya Benki ni Simbanking ya CRDB
...
Read More