Tumia TemboCard Visa yako popote na upate nafasi ya kushinda safari ya Serengeti, Ulaya na umpendaye au Ford Ranger mpyaa

Lipa kwa Mashine POS

Fanya malipo kwenye mashine yoyote ya POS kwa kadi yako ya Tembocard katika kulipia huduma na bidhaa mbalimbali.


Lipa Mtandaoni

Tumia kadi yako kwa kufanya malipo ya bidhaa na huduma mbalimbali kama manunuzi kama kulipia vifurushi vya Netflix, manunuzi ya bidhaa Amazon au AliExpress.

VIGEZO VYA USHINDI

Kwenye Ushindi, Nawe Umo

Kadri unavyotumia Tembocard Visa, unajiongezea nafasi ya kushinda! Ili kufuzu droo, wateja wanapaswa kutimiza vigezo vifuatavyo:

Kukamilisha angalau miamala 30 ya Tembocard ndani ya mwezi husika wa kampeni.
Miamala inapaswa kuwa ya manunuzi (kwa kadi iliyopo kimwili au isiyokuwepo kimwili).
Bonyeza kitufe cha Vigezo na Masharti ili kujua zaidi
...
AWAMU YA 1

Machi - Aprili 2025 • Washindi 12 na Plus 1 wao

Safari ya Kimahaba Serengeti

Fanya miamala kwa Tembocard Visa uingie kwenye droo ya safari ya kimahaba ya VIP kwenda Serengeti kwa wewe na umpendae, ikijumuisha kifungua kinywa cha kimahaba ndani ya puto linaloruka juu ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (gharama zote zimelipiwa). Awamu ya kwanza ina washindi 12, wakiwa wapenzi wao.

AWAMU YA 2

Mei 2025 • Washindi 5 na Plus 1 wao

Safari ya Kitalii Ulaya

Fanya miamala kwa Tembocard Visa uingie kwenye droo ya safari ya kwenda kutalii kwa siku 5 barani Ulaya yenye gharama zote kulipiwa, ikihusisha usafiri wa treni za haraka za umeme, ikiruhusu washindi kutembelea vivutio maarufu vya watalii. Awamu ya pili ina washindi 5, wakiwa wapenzi wao.

AWAMU YA 3

Juni 2025 • Washindi 5

Ford Ranger Mpya

Fanya miamala kwa Tembocard Visa uingie kwenye droo ya kuwa mshindi mkubwa ya Ford Ranger mpya yenye kilomita sifuri

HUDAMA ZA KIFEDHA

Tuna Kadi Mpya kwa Ajili Yako

TemboCard - Prepaid

Sifa za Kadi:

Kadi inayoweza kuwekwa pesa kwa matumizi yanayoweza kudhibitiwa.
Inafaa kwa wanaosafiri, wanafunzi, na malipo ya kidigitali.
Unaweza kuweka fedha kupitia SIMBANKING, pesa taslimu (Over the counter) na kupitia mitandao ya simu (Vodacom, Tigo)
Matumizi ya Kadi Kununua mtandaoni, mashine za malipo, kutoa pesa kupitia ATM
Upatikanaji wa Kadi wateja wanaweza kutuma maombi ya TemboCard Prepaid katika tawi lolote kupitia au Simbanking App.

Faida ya Kadi:

Malipo yake ni rahisi na salama na inawafaa kwa wateja wasiokuwa na uhitaji wa akaunti ya benki.

Kadi ya TemboCard - Prepaid unaweza omba kupitia Simbanking App

TemboCard - Infinite Metal

Sifa za Kadi:

Imara na Yenye Kudumu: Hudumu kwa muda mrefu zaidi kuliko kadi za plastiki.
Muonekano wa Kifahari: Uzito wa kipekee na mvuto wa kipekee.
Ubunifu wa Kisasa: Muundo maridadi na wa hali ya juu.
Alama ya Hadhi: Inahusiana na huduma za kifedha za daraja la juu.

Kadi ya TemboCard - Infinite Metal unaweza omba kupitia Simbanking App

TemboCard - Visa Credit

Sifa za Kadi:

Unaweza kujihudumia kupitia SimBanking
Kuangalia salio la Kadi ya Mkopo
Kuona deni la sasa linalodaiwa
Kupata taarifa ya matumizi ya Kadi ya Mkopo
Kufungia / kufungua kadi

Faida ya Kadi:

Kuboresha urahisi wa kifedha kwa wateja na kusaidia mahitaji yao ya maisha ya kila siku.

Kadi ya TemboCard - Visa Credit unaweza omba kupitia Simbanking App